Mke malaya, nimfanyaje?

Mke malaya, nimfanyaje?

Yaa sijaelewa...hayo maswali, wewe ndio ulikuwa una muuliza, au yeye alikuwa anakuuliza wewe..
Kama ni yeye alikuwa anakuuliza, hizo nguvu alizipata wapi, dah tunatofautiana sana.
Huyu atakua pety pusee
 
Uamuzi unao wewe kusamehe au kumpiga chini.Lakini tabia za wanawake zinafanana sana kuchepuka kwao ndo jambo la msingi ubaya unakuja pale unapogundua kuwa mwenzi wako si mwaminifu.
 
Nimeoa muda mrefu sana na nilikua nampenda sana mke wangu, watoto wangu nilikua simfutilii hata simu yake sishiki.

Kuna siku nilikua najisikia vibaya nikawa sijaenda kibaruani yeye akaenda sokoni domini aliacha chaji ikawa inapigiwa sana jina linalokuja dada.

Kwakua huyo dada yake namjua jina nikapokea duh sauti ya kiume na akakata simu kucheki WhatsApp mke wangu kamtumia picha za ajabu uchi wa mnyama.

Sikumuuliza alivyo rudi akachukua simu yake akaona kuna mtu kapiga akatoka nje alivyorudi ananiuliza ulipokea simu yang? Nikamwambia ndio akanuliza kwa nini nipokee nikamjibu dada yako fulani alikua anapiga sana nikaona labda atakua na tatizo.

Akaniuliza umefungua WhatsApp nikamjibu ndio, alichoniambia ndio nachoomba ushauri kwenu. Eti nilichokitaka ndio nilichokiona tatizo nishamfukuza ila hataki kuondoka.

Msaada wenu
Huyo hajaanza leo. Nimzoefu. Umekuwa ukiishi naye akiwa.hivyo na hukuwa unaumia. Imekuuma kwasababu umeona hayo. Jipe moyo ishi naye kama ulivyokuwa unaishi naye kabla ya kuona ushenzi wake. % kubwa ya wenzetu hao ndivyo walivyo. Utampata wapi ambaye hayuko hivyo?
 
Mkuu huyo usijaribu ata kumpiga, huyo huwenda ni kahaba siyo malaya. Kahaba ni kiumbe hatari sana na inavyoelekea mtakuwa ama mnalingana umri au kakuzidi umri.

wewe chakufanya JITATHIMINI TU MKUU.
 
Akimletea UKIMWI cz alimpenda haina shida sio ili awaache watoto yatima na hao wahuni...mkuu naona na wewe una mawazo kama ya mleta mada pole sana
Sio hivyo mkuu, je kama tayari anao? Na je kama nayeye ndiye alianza hivyo lazima kuna sababu, laaa nitabia yake hivyo kama kumuacha afanye taratibu amuache lakini watoto nao huwa ni kikwazo sana kufanya maamuzi
 
Maisha yamebadilika sana Ndugu

Kamwe usijaribu kushika simu ya mwanamke umpendae au mke wako.

Kamwe kamwe usijaribu hicho kitu

Utakayo yaona humo yanaweza kukuadhiri kisaikolojia kwa muda wote wa maisha yako

Wanawake hawa wa kitanzania wa sasa wapo kwenye kipindi cha mpito cha kuiga vitu vinavyofanywa na wanawake wa kizungu. Ni katika kipindi hichi ndipo sisi wanaume tutaumia sana!!!!
Sababu gani usichunguze mkuu,inamaanisha mabaya tuyafungie macho
 
Nimeoa muda mrefu sana na nilikua nampenda sana mke wangu, watoto wangu nilikua simfutilii hata simu yake sishiki.

Kuna siku nilikua najisikia vibaya nikawa sijaenda kibaruani yeye akaenda sokoni domini aliacha chaji ikawa inapigiwa sana jina linalokuja dada.

Kwakua huyo dada yake namjua jina nikapokea duh sauti ya kiume na akakata simu kucheki WhatsApp mke wangu kamtumia picha za ajabu uchi wa mnyama.

Sikumuuliza alivyo rudi akachukua simu yake akaona kuna mtu kapiga akatoka nje alivyorudi ananiuliza ulipokea simu yang? Nikamwambia ndio akanuliza kwa nini nipokee nikamjibu dada yako fulani alikua anapiga sana nikaona labda atakua na tatizo.

Akaniuliza umefungua WhatsApp nikamjibu ndio, alichoniambia ndio nachoomba ushauri kwenu. Eti nilichokitaka ndio nilichokiona tatizo nishamfukuza ila hataki kuondoka.

Msaada wenu
Bado unaakili za kitoto. Kumfukuza mke wako unataka atoke kwa greda. Piga mbwa huyo. Atatoka mwenyewe. Inavyoonyesha wewe ndo kakuoa
 
Mke uliyefunga nae ndoa anakusaliti, halafu haoneshi kushituka baada ya wewe kujua. Hawezi kujuta kuchepuka kwa kuwa ni tabia. Anachiweza kujuta ni kwa nini aliacha simu. Basi!.

Kuna watu wanakushauri utafute pesa. Hahahaha, interesting. Pesa sabuni ya roho(angalo kwa wanawake).

Yawezekana ni tabia ya mwanamke wako. Hata baada ya kuolewa, hakuweza kuwasahau x-friends wake.

Kama siyo tabia, basi ndugu ujue nawe una mchango mzuri tu katika hili. Umeshauriwa ujiulize ikiwa nawe huwa huchepuki au hukuwahi kuchepuka?

Kama unachepuka pia, kaeni mmalize tofauti zenu. Kila mmoja aseme basi. Maswali ya mkeo yanaonesha kwa kiasi fulani analipiza kisasi.

Kama wewe huchepuki, ninaona tatizo moja. Hamsemezani, hamfunuliani, hamuambiani. Kuna hali ya make kutoridhika na kwa kuwa hakuna muda wa kukaa na kuongea, mke ameamua kujitatulia matatizo yake kimyakimya.

Ongea nae, kila mmoja ajue wapo na kwa namna gani amechangia. Ni muhimu sana kufahamu mchango wako, ili hata ukitoa talaka na ukiamua kuoa tena, usiwe sehemu ya tatizo.

Ukijihakikishia kuwa wewe si sehemu ya tatizo, hakika Hugo si make na ingekuwa Mimi, nisingalikuwa na msamaha. Ningemuacha awe guru na maisha yake aliyoyachagua.

Kila lenye kheri ndugu.
 
Achana naye broo ! Mi mwenyewe mwanamke msenge senge vile bora akaondoka naweza amka na maiti na nikaishia jela. Nakushauri fukuza
 
Wanawake ni wasenge sana tukija kwenye suala ya majibu yao, yaani hata ulikuwa huna mpango wa kumzaba kofi unapata hadi nguvu ya kupiga ngumi kabisaaa. Mimi hyo kesi nmeipitia ila niliamua kuachana naye. Suala la simu siku hizi ndio kipimo cha uaminifu. Kama hamshikiani simu basi ujue nyinyi kuna mmoja wenu hapo anabongewa.
 
Brother pole sana kama umeyakuta Na unaambiwa ulichukua unatafuta maana Yake wewe ni zoba huwezi kumfanya lolote ila kwa mustakabali huo hapo kuna mambo mawili .

1_Unalazimisha mpenzi
2_Umeolewa wewe maana katika uhalisia sio mambo yanayovumilika kirahisi hayo .

Kuwa mwanaume ni tofauti Na kuwa MTU mwenye uume fungua akili Fanya maamuzi ya kiume unakuja kulalama humu ili iweje sasa.
 
Back
Top Bottom