Mke malaya, nimfanyaje?

Mke malaya, nimfanyaje?

Pole kwa yaliyokutokea. Nenda kakodishe mwanamke bandidu aje hapo amng'oe. Aje aseme yeye ndiye mke mpya na hataki kushea. Akishamong'oa unamlipa pesa yake na wewe kuendelea na maisha yako taratiibu!

Bandidu atakujaje hapo amng’oe mke bila kujua hapo mahala ni pa nani?

Isitoshe kisheria si rahisi kumng’oa mtu kwenye matrimonial domicility, yani mahala mnapoishi wanandoa, na haijalishi kajenga nani.
 
Maisha yamebadilika sana Ndugu

Kamwe usijaribu kushika simu ya mwanamke umpendae au mke wako.

Kamwe kamwe usijaribu hicho kitu

Utakayo yaona humo yanaweza kukuadhiri kisaikolojia kwa muda wote wa maisha yako

Wanawake hawa wa kitanzania wa sasa wapo kwenye kipindi cha mpito cha kuiga vitu vinavyofanywa na wanawake wa kizungu. Ni katika kipindi hichi ndipo sisi wanaume tutaumia sana!!!!
Ushauri wa kipuuzi kabisa huu, hivi una ndoa wewe ama umeolewa?
 
Nimeoa muda mrefu sana na nilikua nampenda sana mke wangu, watoto wangu nilikua simfutilii hata simu yake sishiki.

Kuna siku nilikua najisikia vibaya nikawa sijaenda kibaruani yeye akaenda sokoni domini aliacha chaji ikawa inapigiwa sana jina linalokuja dada.

Kwakua huyo dada yake namjua jina nikapokea duh sauti ya kiume na akakata simu kucheki WhatsApp mke wangu kamtumia picha za ajabu uchi wa mnyama.

Sikumuuliza alivyo rudi akachukua simu yake akaona kuna mtu kapiga akatoka nje alivyorudi ananiuliza ulipokea simu yang? Nikamwambia ndio akanuliza kwa nini nipokee nikamjibu dada yako fulani alikua anapiga sana nikaona labda atakua na tatizo.

Akaniuliza umefungua WhatsApp nikamjibu ndio, alichoniambia ndio nachoomba ushauri kwenu. Eti nilichokitaka ndio nilichokiona tatizo nishamfukuza ila hataki kuondoka.

Msaada wenu

Hii ulileta mrejesho?

Pole
 
Huyo mtimue akajifunze adabu kwanza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
yaani mkeo wa ndoa anakuuliza kwanini upokee cm yngu """? MANINA umeoa au umeolewa "" yaani kama ndio mimi wala simwambii kitu namtuma tena dukani "" akiondoka tu naondoka nafunguo za nyumba nzima """

Huenda walishakubaliana kuwa kila mmoja wao asiguse simu ya mwenzie

Sasa kwanini asimhoji ili hali mwanaume ndiyo ambae alimpiga mikwala mke asishike simu yake?

Wakakubaliana kila mtu asishike ya mwenzie!

Na mara nyingi wanaume ndiyo hupenda kukianzisha hilo la kila mtu kushika simu yake tu

Na hapo ndipo utamu huanzia!

Wanaume wanawachukulia wake zao sana ni makosa makubwa sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanamke mjanja akishaona mwanaume wake anachukua simu yake kushikwa na mkewe,

Kisha mwanaume kuweka misimamo ya kila mtu asiguse simu ya mwenzio wanawake wengine hupiga vigeregere moyoni

Anajua jamaa amejikaanga mwenyewe kwa mafuta yake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeoa muda mrefu sana na nilikua nampenda sana mke wangu, watoto wangu nilikua simfutilii hata simu yake sishiki.

Kuna siku nilikua najisikia vibaya nikawa sijaenda kibaruani yeye akaenda sokoni domini aliacha chaji ikawa inapigiwa sana jina linalokuja dada.

Kwakua huyo dada yake namjua jina nikapokea duh sauti ya kiume na akakata simu kucheki WhatsApp mke wangu kamtumia picha za ajabu uchi wa mnyama.

Sikumuuliza alivyo rudi akachukua simu yake akaona kuna mtu kapiga akatoka nje alivyorudi ananiuliza ulipokea simu yang? Nikamwambia ndio akanuliza kwa nini nipokee nikamjibu dada yako fulani alikua anapiga sana nikaona labda atakua na tatizo.

Akaniuliza umefungua WhatsApp nikamjibu ndio, alichoniambia ndio nachoomba ushauri kwenu. Eti nilichokitaka ndio nilichokiona tatizo nishamfukuza ila hataki kuondoka.

Msaada wenu
Eti "nimemfukuza amekataa kutoka"
Hivi kweli ww ni mwanamme!??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli wanaume tonatofautiana kwenye maamuzi huyu angekuwa hospital na Mimi ningekuwa natafutwa na polisi ni kitendo cha dakika mbili tu ila kwa ushauri wangu achan nae huyo kosa kubwa tunalofanya wanaume wengi tunaishi na wanawake jinsi watakavyo wao na sio jinsi ipasavyo kuishi nao huyu aliangalia udhaifu wako siku nyingi sana ndio maana amekujibu kama mwanae jibu ambalo hata Dada yako hawezi kukupa wewe umepewa na mkeo pole sana mkuu fukuzaaaa mura

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Atakuua na ngoma huyo kimbia!!! wewe si ulipambana kuoa kishawishi eti ana sura nzuri? pambana na hali yako wife material hawajali mambo ya make up, nywele bandia wala nyusi bandia wao hufikiria kulima kufuga na kusomesha watoto , kutunza mume na kusali
 
Back
Top Bottom