ulimfukuza??? maana ndiyo adhabu sahihi zaidi aliyostahili kwa kuzini nje ya ndoaila huduma za digital zipo
Nimeoa muda mrefu sana na nilikua nampenda sana mke wangu, watoto wangu nilikua simfutilii hata simu yake sishiki.
Kuna siku nilikua najisikia vibaya nikawa sijaenda kibaruani yeye akaenda sokoni domini aliacha chaji ikawa inapigiwa sana jina linalokuja dada.
Kwakua huyo dada yake namjua jina nikapokea duh sauti ya kiume na akakata simu kucheki WhatsApp mke wangu kamtumia picha za ajabu uchi wa mnyama.
Sikumuuliza alivyo rudi akachukua simu yake akaona kuna mtu kapiga akatoka nje alivyorudi ananiuliza ulipokea simu yang? Nikamwambia ndio akanuliza kwa nini nipokee nikamjibu dada yako fulani alikua anapiga sana nikaona labda atakua na tatizo.
Akaniuliza umefungua WhatsApp nikamjibu ndio, alichoniambia ndio nachoomba ushauri kwenu. Eti nilichokitaka ndio nilichokiona tatizo nishamfukuza ila hataki kuondoka.
Msaada wenu
Mrejesho nawapa shukurani wote walionipa njia sahihi niliokua naitaka kuifanya nikapewa namba na wadau humu wenye mioyo ya huruma.sio wale wanaotaka kila jambo kumuachia mungu.wakati unaambiwa ulipoingia mwiba ndio hapohapo unapotolewa wastani Mababu wako njema huko mikoani wamefungua koki kwa mwezi anapumzika siku 2-4 hivi wastani amenyoosha mikono juu. na gharama zangu wameanza rejesha babu kaniambia ukiona inatosha na gharama zimerudi fanya hivi kuzuia ruvu isiendelee kuleta mafuriko.ila.Ila digitali sio poa sikuwahi amini ila mwana jf aliniambia wewe wasiliana na huyu atakusaidia kama unatatizo kweli.nashukuru wote waliokua nami begakwa bega
Mkuu vikao vilishafanyika ila siku zote asie sikia la wazazi wake!atafunzwa na walimwengu hayo mambo yashaisha watoto wako 3 wakwanza kidato cha kwanza wa pili yuko darasa 5 wa mwisho darasa la pili.Mna watoto wangapi? na wanaumri gani? Mi nadhani ungecopy hizo picha ukaenda kuongea na wazazi wake kama bado wapo hai, au Ndugu zake wa karibu ili wajue tatizo la huyo Mkeo kisha ungefanya maamuzi kama unamuacha au unamuonya. N alivyokujibu kwa jeuri jiangalie mzee inaonekana hutoshi kifedha au kitandani.
Hiyo unaweza fanya kama mwanamke unaisi anakupenda na asikufanyie baya maana atajua umemkanya tu.ila usimfanyia hayo mwanamke asikupenda kila siku utakuwa mtu wa kuwekewa dhamana mie nilishapitia yote hayo na mengi sana zaidi ya hayoKweli tamaduni zinatutofautisha mi mwanamke hanijibu hivi ata awe dada yangu achilia mbali mke wangu atakuwa na hali mbaya sana kwa mda mfupi mnoo
Sent using Jamii Forums mobile app
umeongea kimafumbo sana, sijakuelewa, toa mrejesho mzuri kwa faida ya woteMrejesho nawapa shukurani wote walionipa njia sahihi niliokua naitaka kuifanya nikapewa namba na wadau humu wenye mioyo ya huruma.sio wale wanaotaka kila jambo kumuachia mungu.wakati unaambiwa ulipoingia mwiba ndio hapohapo unapotolewa wastani Mababu wako njema huko mikoani wamefungua koki kwa mwezi anapumzika siku 2-4 hivi wastani amenyoosha mikono juu. na gharama zangu wameanza rejesha babu kaniambia ukiona inatosha na gharama zimerudi fanya hivi kuzuia ruvu isiendelee kuleta mafuriko.ila.Ila digitali sio poa sikuwahi amini ila mwana jf aliniambia wewe wasiliana na huyu atakusaidia kama unatatizo kweli.nashukuru wote waliokua nami begakwa bega
Mkuu vikao vilishafanyika ila siku zote asie sikia la wazazi wake!atafunzwa na walimwengu hayo mambo yashaisha watoto wako 3 wakwanza kidato cha kwanza wa pili yuko darasa 5 wa mwisho darasa la pili.
hahah ikoje hii mkuu?kagombe una hela nikupe dawa akitaka kukutana na mwanume nje ya ndoa, PAPUCHI iwe inatoa funza!
Sent using Jamii Forums mobile app
hahaaaa issu imeisha mkuu na sikua nataka kumzaririsha na siwezi mzaririsha yule atabaki kua mzazi mwenzangu tu.nilitaka apate fundisho na ndio alichopata kwa sasakagombe una hela nikupe dawa akitaka kukutana na mwanume nje ya ndoa, PAPUCHI iwe inatoa funza baada ya mimi kumlengeshea mpingo.
Sent using Jamii Forums mobile app
hahaaaa watoto ndio marafiki zangu wa ukweli kwa sasa.ila mkuu ulipotokea sio pa kushindana napo.Baadhi ya wanamke kama kondakta tu hatosheki na abiria.kua uyaone mpwaKwa umri huo wa Watoto mkeo ni hakupendi na anakudharau mzee jiangalie usije ukapata BP au kisukari kutokana na stress na mambo mengine, nachokushauri fanya uamuzi unaoona utakupa wewe amani ya moyo watoto wanakuhitaji sana uweze kuwasomesha na kuwapeleka katika maisha mazuri. Maana inaonekana mkeo humzibui vya kutosha lile sikio la chini (unaremba mzee)
Mkuu hii kitu ningetumia nguvu leo hii nisingekua nyuma ya kibodi.Busara zinatakiwa kwa hawa viumbe kuliko nguvuUnazengua,.. Mwanamke hajawahi mshinda Mwanaume..
Yaan pamoja na UMALAYA wake, bado unamfukuza hataki...bado anakuambia huo upuuzi??
Asalaleeeee
hahaaaa watoto ndio marafiki zangu wa ukweli kwa sasa.ila mkuu ulipotokea sio pa kushindana napo.Baadhi ya wanamke kama kondakta tu hatosheki na abiria.kua uyaone mpwa