and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 28,218
- 39,699
- Thread starter
- #81
Ipo haja ya kuanzisha "How to be Romantic" course kwa mabinti wa kichaga mana mnaboa sana
Mpe pesa. Tatizo humpi pesa mke wako. Tafuta pesa ujenge heshima kwa mkeo. Mpe milion 3 kama hatakuja huko ulipo? Usikwepe majukumu pesa haya yote yatakwisha.
Kazi zip na yeye ni mama wa nyumbani?Kama wife ndo huyo kwenye picha basi atakuwa katingwa na kazi tu!!
[emoji23]Kama wife ndo huyo kwenye picha basi atakuwa katingwa na kazi tu!!
Kwakweli.Huyo muke abakigi tu dar