KATASAN'KAZA
JF-Expert Member
- Jul 24, 2013
- 3,097
- 1,356
Tamu chungu hiyo..!Umechagua ujinga, basi endelea nao tu mpaka utakapoona vinginevyo.
Tamu chungu hiyo..!Umechagua ujinga, basi endelea nao tu mpaka utakapoona vinginevyo.
Miaka mitano unaacha mwanamke mjini na wala hajigusi kuja kukusalimia ndo unatafuta ushauri saa hizi? Kunae mwenzie huku mjini anammalizia shida zake. Kalagabaho
Uyo mke atakua amepata ndugu wa Faida, jitaidi uachane nae hamna dawa nyingine.Wakuu inakuaje Mke anathamini na kusikiliza ndugu zake kuliko mumewe? Mfano, nilihamishiwa kikazi Namanga miaka 5 iliyopita (Mke akabaki Dar lakini Mke hajawahi kuja kunitembelea hata mara 1 japo mm najitahid kila mwezi naenda kusalimia Dar. Nikiuliza anadai yupo bize. La ajabu mara kadhaa anasafiri kwenda Mwanza kumuuguza mjomba (mwenye Mke na watoto). Nimeduwaa, nimeamua kuwa mpole kwa muda ili kupisha hasira hii
Ahsante mamiiMpe talaka huyo
Boya hiloo nalitaka hata kesho niolewe tena!!Unasemaaaa??!!!!!

si kwa uzuzu huoHahahaaahaaaaaaBoya hiloo nalitaka hata kesho niolewe tena!!
Mazingira hayajakaa vizuri hata
Umechagua ujinga, basi endelea nao tu mpaka utakapoona vinginevyo.





Kweli binadamu tuko tofauti ila hapo unachapiwa mchana kweupe tena kwenye makutano ya barabarani kabisa jiongeze Ndugu.Mara kadhaa nimeacha nauli na wakati wa Pasaka nilikata mpaka tiketi ya fastjet atue KIA kisha apande shuttle mpaka Arusha mjini baadae Namanga. Pesa ile ilienda bure na hakuja.
Naona Shetani anakukaria. Mkemee, vinginevyo Jela inakuita.Wakuu inakuaje Mke anathamini na kusikiliza ndugu zake kuliko mumewe? Mfano, nilihamishiwa kikazi Namanga miaka 5 iliyopita (Mke akabaki Dar lakini Mke hajawahi kuja kunitembelea hata mara 1 japo mm najitahid kila mwezi naenda kusalimia Dar. Nikiuliza anadai yupo bize. La ajabu mara kadhaa anasafiri kwenda Mwanza kumuuguza mjomba (mwenye Mke na watoto). Nimeduwaa, nimeamua kuwa mpole kwa muda ili kupisha hasira hii
Atarudi wanaomgonga sasa hivi wakimchoka. Kuwa pole tu Mkuu.Kiukweli mawazo na rasilimali zangu karibu zote nimeelekeza kwa watoto