😀😀😀😀😀Umechagua ujinga, basi endelea nao tu mpaka utakapoona vinginevyo.
Duu jibu hili [emoji23][emoji23][emoji23] maaa weeeUmechagua ujinga, basi endelea nao tu mpaka utakapoona vinginevyo.
DuuMpe talaka huyo
MmmmUjinga uliouamua ndio utakaokuponza
Mpe pesa. Tatizo humpi pesa mke wako. Tafuta pesa ujenge heshima kwa mkeo. Mpe milion 3 kama hatakuja huko ulipo? Usikwepe majukumu pesa haya yote yatakwisha.Wakuu inakuaje Mke anathamini na kusikiliza ndugu zake kuliko mumewe? Mfano, nilihamishiwa kikazi Namanga miaka 5 iliyopita (Mke akabaki Dar lakini Mke hajawahi kuja kunitembelea hata mara 1 japo mm najitahid kila mwezi naenda kusalimia Dar. Nikiuliza anadai yupo bize. La ajabu mara kadhaa anasafiri kwenda Mwanza kumuuguza mjomba (mwenye Mke na watoto). Nimeduwaa, nimeamua kuwa mpole kwa muda ili kupisha hasira hii
Haaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] wakati wenziwe mwezi tu mtihani huyo ndiye kichwa cha familiaMiaka mitano unaacha mwanamke mjini na wala hajigusi kuja kukusalimia ndo unatafuta ushauri saa hizi? Kunae mwenzie huku mjini anammalizia shida zake. Kalagabaho
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Huyu labda miguu ya familiaHaaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] wakati wenziwe mwezi tu mtihani huyo ndiye kichwa cha familia
Duu pole na hapo unasema unamke? Wengine me akisafiri kikazi mwezi tu lazima kwenda kuchungulia hata wiki1 [emoji23][emoji23][emoji23] tunakaba mpaka penalty[emoji2] [emoji2] [emoji2]Mara kadhaa nimeacha nauli na wakati wa Pasaka nilikata mpaka tiketi ya fastjet atue KIA kisha apande shuttle mpaka Arusha mjini baadae Namanga. Pesa ile ilienda bure na hakuja.
Pole sana, zakuambiwa changanya na zakoNashukuru wandugu.
HaaaaaMkuu ukumbuke na zana. Maana kitambo sana tunabugia "karanga"
NitazingatiaPole sana, zakuambiwa changanya na zako
Haaaa [emoji23] yaani jamani vitu vingine mpaka aibu kuviongelea itakuwa yeye huko yupo na michepuko ndiyo maana hamfuatilii mkewe naye kuona hivyo anajisasambua tu kama jogoo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Huyu labda miguu ya familia
Kwakweli zingatia ukitoka huko unaingia tu mnauana kiaina, kuwa mwanaume kichwa toa amri hamia huku laa ndoa ife mbona rahisi tuNitazingatia
Center bolt za nyonga....Endelea kuwa mjinga, huko Mwanza kutakua kuna mtu anamkaza bolt za kiuno hiyo ya mjomba ni nyongeza...
And we don't even care, nenda kanisani au chukua biblia usome mkuu,Uvumilivu umenifika mwisho. Nna nnyege mpaka homa
Huyo muke abakigi tu darUmechagua ujinga, basi endelea nao tu mpaka utakapoona vinginevyo.
Umesemaaaa!!!And we don't even care, nenda kanisani au chukua biblia usome mkuu,