Nelson Mwombeki
JF-Expert Member
- May 2, 2018
- 2,933
- 3,406
Tunajimegea tu kiulaiiini, we piga kazi mkuu, usimchunguze sana bata
Mkuu ukumbuke na zana. Maana kitambo sana tunabugia "karanga"Acha Tumsaidie Vijana Wenzie
Kacheki na afya kabisa nduguTunajimegea tu kiulaiiini, we piga kazi mkuu, usimchunguze sana bata
Kwan mkeo humli,..maana km unamla fresh tuu afu kitaa wana wanaslide utelezini bas net inakumba wengi, we ukiwemo piaKacheki na afya kabisa ndugu



Kwan mkeo humli,..maana km unamla fresh tuu afu kitaa wana wanaslide utelezini bas net inakumba wengi, we ukiwemo pia![]()
Hata mm nimeona hivyo. Haiwezekani kabisaMiaka mitano unaacha mwanamke mjini na wala hajigusi kuja kukusalimia ndo unatafuta ushauri saa hizi? Kunae mwenzie huku mjini anammalizia shida zake. Kalagabaho
Shem hata huruma na mwanamke mwenzio hauna ?Mpe talaka huyo
Wakuu inakuaje Mke anathamini na kusikiliza ndugu zake kuliko mumewe? Mfano, nilihamishiwa kikazi Namanga miaka 5 iliyopita (Mke akabaki Dar lakini Mke hajawahi kuja kunitembelea hata mara 1 japo mm najitahid kila mwezi naenda kusalimia Dar. Nikiuliza anadai yupo bize. La ajabu mara kadhaa anasafiri kwenda Mwanza kumuuguza mjomba (mwenye Mke na watoto). Nimeduwaa, nimeamua kuwa mpole kwa muda ili kupisha hasira hii
Ndoa ipo ila ni ya makaratasi (vyeti) tuHakuna ndoa hapo.
Unasemaaaa??!!!!!Hivi wanaume km nyie maboya kumbe mpooo!
Mungu nipe boya km hili