Mke kamkimbia jamaa yangu

Mlifanya kosa kubwa sana. Hawa viumbe huwa wanapenda na wanataka kuolewa na mwanaume wanayempenda.
Tofauti na hapo atakusumbua sana. Kiufupi huyo mwanamke hakumpenda jamaa yako.
bado laki tano,,kulikuwa na competition kuna jamaa aliletaga posa kabla yetu na alitoa donge nono,ko si tukapandilia juu zaidi na ma mkwe tukuwezesha biashara yake akatupenda sisi ndo tuwe wakwe,,,broo mamb meng tulifanya ...
 
Mapenzi siyo kukomoana. Kilichopatikana, mke inabidi aridhike
Kwa tabia hizi za wanawake wamesababisha wanaume kuwazalisha tu wanawake na kuwaacha.
Na mitoto Yao kuishi bila baba,nadhan wanaume Kuna mahala pamebomoka Kwa kichwa.Japo ilipaswa apike mbona yoyote Kwa pesa aliyoachiwa
 
Nilishawaonya humu mara kibao, mwanamke wa kufanya nae mahusiano serious ni 25yrs and beyond. Hizi nguluvi za 18-24 ni headaches tu. Ona sasa mtoto kakimbia eti kisa nyama haijaletwa.
 
Hapo dawa ni kuvunga, asimuulize la kheri wala la shari, akijishusha tu, huyo mwanamke akaona bila ya yeye jamaa hawezi, basi mchizi hapo imekula kwake. πŸ˜‚
 
Huyo mwanamke alikuwa anatafuta tu sababu ya kuondoka kwa jamaa, pengine kabla ya kuolewa alikuwa na matarajio makubwaaa kufika ndoani kayakosa........... . Serious kabisa mtu na akili zake timamu unanuna eti kisa nyama?
Hili ndio jibu, utakuta kuna jamaa ashaanza kumfix na ndio ameenda kwake baada ya kukimbia nyumbani kwa mume. Watoto under 25 wengi huwa hawajajitambua wanahitaji nini maishani so ukioa binti chini ya umri una risk mno sababu aina ya mwanaume amtakaye huenda ikawa sio wewe sababu still anakuwa hana maamuzi thabiti.
 
jamaa anampenda sana tu,hata enzi za uchumba tulipambana sana ili kum-win , alikuwa na mtu wake lakin tulitumia mbinu za kibabe sana hadi tukawachanisha tukamchukua
Nonsense! Basi hapo mpinzani wenu kafanya counter attack yenye akili na amesha score.
 
bado laki tano,,kulikuwa na competition kuna jamaa aliletaga posa kabla yetu na alitoa donge nono,ko si tukapandilia juu zaidi na ma mkwe tukuwezesha biashara yake akatupenda sisi ndo tuwe wakwe,,,broo mamb meng tulifanya ...
Duh kama mnada vile. So ng'ombe akauzwa to the highest bidder.
Sasa ubabe wote huo mnashindwaje kumlisha mtoto wa watu nyama daily kama anavyotaka?
 
kila kitu dem anacho,,na nmzuri haswa,rangi ya mtume na shape la kufa mtu
Hilo ndio tatizo kubwa.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ na humo ndimo udhaifu wa jamaa yako uliko.

Kwa urembo huo na umri wahuni wengi wa mjini wanafika bei na kumrubuni kirahisi na hela huyo binti na kwa akili za kushikiwa alizonazo atakuwa anamtumiwa na shoga yake kuwa linked na madanga.

Kuondosha shari namsihi jamaa yako atafte mke tena hamna mke humo.
 
jamaa anampenda sana tu,hata enzi za uchumba tulipambana sana ili kum-win , alikuwa na mtu wake lakin tulitumia mbinu za kibabe sana hadi tukawachanisha tukamchukua
Kosa jingine la kiufundi, huwezi kudumu na mwanamke uliomuiba kwa mwanaume mwenzio. Iko siku atakimbia kwako in the same manner.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
saiv jamaa ana full stress kalipigia goma lake la zamani ,saiv kaenda huko kupunguza mawazo badae ntampitia tukapige castle lager

Hadi hapa mshikaji wako anaonekana ni mtu mwenye maamuzi ya kijinga...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…