Mke kachoma moto vyeti vya ndoa

Mke kachoma moto vyeti vya ndoa

MR KUO

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2016
Posts
2,758
Reaction score
3,950
Eebwana eeh ndoa hizi ni nbaya kweli, huwa nahisi na naamini mapepo yote na majini yasiyo na makazi huwa yanakimbilia kuishi kwemye hizi pete zinazoitwa za ndoa.

Nilifunga ndoa ya kanisani kabisa kanisa la TAG, ila kwa sababu kadhaa ikiwemo maelewano mabovu na mwenzangu ndoa ikawa shimo la mateso kwa kila mmoja.

Tukabahatika kupata mtoto miaka ana miaka 5 sasa ila mwisho wa siku baaada ya taabu na mateso mengi mke akaamua kuondoka, na mimi nikakaza roho sikumfata ni mwaka wa 3 huu.

Sasa majuzi hapa nikasema ngoja nimtafute mwenzangu hatukuwa na mawadiliano ya maana kabla, cha kwanza akajibu vema na kwa adabu za kutosha nikamwambia sasa nadhani kila mmoja ashagundua kila kitu walp tulikuwa tunafeli.

Binafis natamani urudi ila kama utakuwa na mipango mingine huko sio mbaya tukapeana nafasi jumla, na kwa kuwa uliondoka na vyeti vya ndoa kama huna mpango wa kurudi shughulikia suala la taraka au kama huna muda nipatie mimi nishughulikie ili kila mmoja awe huru na kwa amani.

Jibu alilonipa ni kuwa heye kwa sasa hana kumbukumbu zozote kuhusu ndoa alichoma moto kila kitu vyeti na picha, sasa hapo kisheria imekaaje maana nataka kuivunjilia mbali hii ndoa ili nianze upya?
 
Eebwana eeh ndoa hizi ni nbaya kweli, huwa nahisi na naamini mapepo yote na majini yasiyo na makazi huwa yanakimbilia kuishi kwemye hizi pete zinazoitwa za ndoa, nilifunga ndoa ya kanisani kabisa kanisa la TAG, ila kwa sababu kadhaa ikiwemo maelewano mabovu na mwenzangu ndoa ikawa shimo la mateso kwa kila mmoja, tukabahatika kupata mtoto miaka ana miaka 5 sasa ila mwisho wa siku baaada ya taabu na mateso mengi mke akaamua kuondoka, na mimi nikakaza roho sikumfata ni mwaka wa 3 huu, sasa majuzi hapa nikasema ngoja nimtafute mwenzangu hatukuwa na mawadiliano ya maana kabla, cha kwanza akajibu vema na kwa adabu za kutosha nikamwambia sasa nadhani kila mmoja ashagundua kila kitu walp tulikuwa tunafeli, binafisi natamani urudi ila kama utakuwa na mipango mingine huko sio mbaya tukapeana nafasi jumla, na kwa kuwa uliondoka na vyeti vya ndoa kama huna mpango wa kurudi shughulikia suala la taraka au kama huna muda nipatie mimi nishughukikie kila mmoja awe huru na kwa amani. Jibu alilonipa ni kuwa heye kwa sasa hana kumbukumbu zozote kuhusu ndoa alichoma moto kitu veyti na picha, sasa hapo kisheria imekaaje maana nataka kuivunjilia mbali hii ndoa ili nianze upya?
Nenda kanisa ulilofungia ndoa kumbukumbu zipo!
Muite kwenye baraza la usulihishi Kwa njia rasmi (kata)
Asipokuja au akija pia ikionekana IPO haja ya talakautaelewa fomu namba tatu, nenda mahakama ya mwanzo fungua shauri la kutaka kuachana/talaka.
Utapewa sumons ya kumwita na shauri litaendeshwa na mahakama itatoa talaka! Kumbuka kanisa haitambui talaka ya mahakama Kwa uzito huo. Sijui labda Kwa Tag Ili upate nafasi ya kuoa tena..
Pole sana
 
Acha upumbavu unatafuta wa nini tena?umesha nusurika kifo cha mapema unatafuta moto tena shit....
 
Najiuliza sana, kwanini Shetani anapenda sana kuwatumia wanawake?

Bahati mbaya wanawake hahawajui kabisa Kama Shetani anawatumia kuharibu maisha ya wanaume.

Au haya mawigi, make up na makucha wanauovaa ndio Yana mwita Shetani awatumie kwa kiwango Cha juu?

Naamini 80% ya ndoa zinazoharibika, chanzo ni wanawake!
 
Daah chief asante sana kwa ukali wako .umenizindia hii nachukulia kama kibao tena cha usoni.
 
Eebwana eeh ndoa hizi ni nbaya kweli, huwa nahisi na naamini mapepo yote na majini yasiyo na makazi huwa yanakimbilia kuishi kwemye hizi pete zinazoitwa za ndoa.

Nilifunga ndoa ya kanisani kabisa kanisa la TAG, ila kwa sababu kadhaa ikiwemo maelewano mabovu na mwenzangu ndoa ikawa shimo la mateso kwa kila mmoja.

Tukabahatika kupata mtoto miaka ana miaka 5 sasa ila mwisho wa siku baaada ya taabu na mateso mengi mke akaamua kuondoka, na mimi nikakaza roho sikumfata ni mwaka wa 3 huu.

Sasa majuzi hapa nikasema ngoja nimtafute mwenzangu hatukuwa na mawadiliano ya maana kabla, cha kwanza akajibu vema na kwa adabu za kutosha nikamwambia sasa nadhani kila mmoja ashagundua kila kitu walp tulikuwa tunafeli.

Binafisi natamani urudi ila kama utakuwa na mipango mingine huko sio mbaya tukapeana nafasi jumla, na kwa kuwa uliondoka na vyeti vya ndoa kama huna mpango wa kurudi shughulikia suala la taraka au kama huna muda nipatie mimi nishughukikie kila mmoja awe huru na kwa amani.

Jibu alilonipa ni kuwa heye kwa sasa hana kumbukumbu zozote kuhusu ndoa alichoma moto kitu veyti na picha, sasa hapo kisheria imekaaje maana nataka kuivunjilia mbali hii ndoa ili nianze upya?
Vp,unataka utumie gunia mbili za mkaa kumchoma kwa moto au yeye ndiye akuchome moto ndipo ulizike?
 
Nenda kanisa ulilofungia ndoa kumbukumbu zipo!
Muite kwenye baraza la usulihishi Kwa njia rasmi (kata)
Asipokuja au akija pia ikionekana IPO haja ya talakautaelewa fomu namba tatu, nenda mahakama ya mwanzo fungua shauri la kutaka kuachana/talaka.
Utapewa sumons ya kumwita na shauri litaendeshwa na mahakama itatoa talaka! Kumbuka kanisa haitambui talaka ya mahakama Kwa uzito huo. Sijui labda Kwa Tag Ili upate nafasi ya kuoa tena..
Pole sana
Shukran.
 
Hatari sana.

Hapo umeshapata sababu. Nenda baraza la kata wakupe barua kisha nenda mahakamani kavunje ndoa.

Hiyo sababu tu ya kuchoma moto cheti ambacho ni nyaraka ya serikali inamfanya hakimu avunje ndoa hiyo haraka
 
Najiuliza sana, kwanini Shetani anapenda sana kuwatumia wanawake?

Bahati mbaya wanawake hahawajui kabisa Kama Shetani anawatumia kuharibu maisha ya wanaume.

Au haya mawigi, make up na makucha wanauovaa ndio Yana mwita Shetani awatumie kwa kiwango Cha juu?

Naamini 80% ya ndoa zinazoharibika, chanzo ni wanawake!
Uko sahihi, ukishamuoa mwanamke tambua furaha za maisha yako umeuza, hakuna ndoa yenye starehe dunia hii ni vile tu watu hawaongei na viwango vya uvumilivu vinatofautiana ila 90/% ya ndoa ni mbayaaa
 
Hatari sana.

Hapo umeshapata sababu. Nenda baraza la kata wakupe barua kisha nenda mahakamani kavunje ndoa.

Hiyo sababu tu ya kuchoma moto cheti ambacho ni nyaraka ya serikali inamfanya hakimu avunje ndoa hiyo haraka
Asante sana
 
Kwani ndoa ni nini hasa?

Angekubali kurudi na usingeulizia hicho cheti mkaishi kwa amani hadi mwisho wa maisha yenu mngekuwa na ndoa au hamna?

Je wenye vyeti lakini wamegawana vitanda/vyumba/nyumba na wamekubaliana kila mmoja atafute mwenzake huko nje wao wameshamalizana, wabaki pamoja kulea watoto je wana ndoa au hawana?
 
Ukiinga jua umeuza uhuru, umeuza furaha na amani yako, kwenye ndoa ukiondoa mapenzi na watoto ambavyo unaweza kuvipata bila hata ndoa, hakuna jambo lingine la maana linapatikana mule bali taabu na kero nyingi sana.
Duuuh,, huko ndani siku hizi kunatisha sana,watu wanakaa sababu ya kuonesha heshima tu
 
Kwani ndoa ni nini hasa?

Angekubali kurudi na usingeulizia hicho cheti mkaishi kwa amani hadi mwisho wa maisha yenu mngekuwa na ndoa au hamna?

Je wenye vyeti lakini wamegawana vitanda/vyumba na wamekubaliana kila mmoja atafute mwenzake huko nje wao wameshamalizana, wabaki pamoja kulea watoto je wana ndoa au hawana?
Hii mitihani ni wachache sana hasa wenye maamuzi magumu ndo wanafaulu, tugawane vitanda huku kila mmoja akitafuta mwenzake watoto wanapata nini??

Binafis haoana n
Umenifurahisha sana sio mkaa huu wa kuni hapana aweke yale yamawe ambayo hayazimiki kwa haraka
Jibu lake limefanya nimeupigilia msumari wa mwisho kwenye maamuzi yangu juu ya hii ndoa.nimemshururu sana
 
Back
Top Bottom