Mke ka-'confess' jamaangu kachanganyikiwa...

Hakubali matokeo yoyote yatayopatikana maana Zinaa hulipwa kwa zinaa. Wazee wanasema kitanda hakizai haramu, ila hili ni fundisho kwa wale wote wakware wajue wanapoharibu nje na wao wanaharibiwa ndani. Mkuki kwa Nguruwe, kwa Binadamu mchungu.
 
MMh, kusamehe kupo ila ukiangalia madhara unayaona... imagine hiyo mimba isiwe ya mumewe.... Mungu anisaidie hapo mimi ningesamehe kwa condition..... kama mtoto sio wangu Bora ndoa ife ila kama mtoto ni wangu nitazidi kumpenda.
Hapa wadau tusiwe wanafiki katika hili jamaa yuko na wakati mgumu hebu imagine iyo ndio iwe mimba ya kwanza... uuwwiiiii!!!
 
Ndo maana tunahitaji ushauri wako mdau..anyway nimekusoma..
 
..... kama mtoto sio wangu Bora ndoa ife ila kama mtoto ni wangu nitazidi kumpenda.
Hapa wadau tusiwe wanafiki katika hili jamaa yuko na wakati mgumu hebu imagine iyo ndio iwe mimba ya kwanza... uuwwiiiii!!!

Ndugu yangu mbona hiyo sio issue kabisa...kuna usemi 'ukimchunguza sana kuku hutamla'.. Je' wanaume tuna uhakika gani hawa watoto ambao tunao ni wakwetu? wengine utaona wamefanana na majirani lakini tunaambiwa wamefanana na babu mzaa mama kwa bibi mdogo na shangazi.. hatimaye tunakubali na kulea hadi watoto wanakuwa wakubwa... Siri ya mtoto anayo mama na itabaki kwa mama milele.

Kwa wale wanachunguza sana wanaishia kubaki na mawazo na simanzi daima.. Issue.ni kuwa Trust.. unaloambiwa..na kama heshima ipo toka kwa mke mwache mama abebe yaliyobaki ndani ya moyo wake..forever.. kama mimi sijali na wala siulizi labda kama mtoto atakuwa na allegy ya kunichukia mimi kama baba yake..Lakini kama mtoto atanipenda mbele kwa mbele na mimi nitampenda na sita kumbuka wala kugusia issue hiyo tena..
 
I repeat again, Waheshimuni wake zenu kwani wana akili nyingi kuliko hata zetu, mwambie atulie kwani alianza yeye, na zaidi sana mama anamzingua ili ampime msimamo wake. nawakilisha.

Asa Mandenyi wangu mbona hujatuambia kuwa hii quotation umeitoa katika kitabu ganni? au tuiite Mamndenyi 1:1-2??

Hii issue ni ya moto....ni rahisi kudai kuwa jamaa atulie kwa sababu ni yeye alianza.....Wewe mwanaume mwenzangu fumba macho ligeuzie kwako then uone utamu wake!!

Ni kweli jamaa alianza lakini hajatuambia kuwa alileta mtoto huko. Pengine alikuwa akitumia kinga na hivyo kujikinga pia na UKIMWI. Huyu mama anawasiwasi kuwa mimba ni ya jamaa yake wa zamani kwahiyo alipiga kavu kavu (hawakutumia kinga). Hii nayo ni issue kwani mbali na mimba huenda akrudi pia humo na UKIMWI.
Nashauri wakapime ngoma then mtoto akizaliwa wapime DNA.
Nawasilisha!
 
WanaJF kama kawaida hii ndio kona yetu ya kubadilishana mawazo. Leo kuna jamaa yangu yamemkuta makubwa..Ni hivi: Anaye mke wake mjamzito wameishi pamoja sasa karibu miaka mitano.Mwanzoni mwa ndoa yao kiukweli jamaa yangu alikuwa hajatulia, waliendelea kuzinguana hivyo mpaka juzi kati nadhani mwezi wa nne ambapo jamaa yangu aliamua ku'confess' mabaya yote ambayo aliyafanya na kwa kweli bila kutegemea mke wake alimsamehe na kumuahidi upendo ilimradi tu yasijitokezee tena.Na jamaa yangu alimuombia mkewe ku'confess' kama alishawahi kumtenda..lahaulah..lakwata hapo ndo jamaa kabaki hoi bin taaban. Yaan mke wake huku akilia alimuambia kuwa ..aliamua kutembea na jamaa yake wa zamani baada ya kuona mshkaj anamzingua na hana uhakika kama hata hiyo mimba kama ni yake maana aki-backdate tarehe zinagongana na zile alizodate na Jamaa wa nje??..Amemuomba mume wake wasameheane waendelee kama kawaida..kwamba mbona yy kamsamehe..mshkaj kamuambia subiri....
jamaa kaja kuniomba ushauri..na mimi naomba kuwashirikisha wanaJF tumshaurije huyu mkuu??

kaomba msamaha kasamehewa hamna cha zaidi hapo asamehe tu waanze upya... Ichukuliwe kwamba yeye anaweza kuwa ndio source wa yote hayo
 
Tayari nilikwishajiandaa kuanzisha uzi mpya kuhusu "Kusamehe na kusahau udanganyifu au usaliti katika mapenzi", lakini nilipoona uzi huu ni kuwa unalingana na kile nilichataka kusema.

Kuna imani kuwa "Mwanamke anaweza kusamehe usaliti lakini hasau wakati mwanamume anaweza kusahau usaliti lakini hasamehe".
Sijui kuna ukweli kiasi gani katika dhana hizi lakini nahisi yote mawili lazima yaende pamoja. Anayesamehe bila kusahau hakusamehe, na anayesahau bila kusamehe hakusahau. Suluhisho ni kuvumiliana, hasa katika kisa hiki ambapo mwanamke aliendeleza tu lile aliloanza mume. Tukumbuke kuwa ingawa wanaume tunadanganya sana (quantity) kuliko wanawake; wanawake wanadanganya vizuri (quality) zaidi kuliko wanaume. Labda hili liwe funzo kwetu.
Ngoma droo.
 
Kwakweli mume ndio aloanza ufuska wake na amempa mkewe mwanya yakufanya alio yafanya japo kua mke vilevile anamakosa,chamsingi wasamehe yane kwani hakuna binadamu asie tenda makosa,ukizingatia kuna kiumbe wanakitarajia,lakini huyo mwanamke angekua mie hata unishikie Kisu nakwambia mumewangu kama unaniua niue tu lakini sijafanya,hajui kama wanaume wanataka wafanye wao2 wakifanyiwa wanaweza hata kukutoa roho,eti Confess! loh unanini bibi uso ka kimnya.

Tamu ya chai sukari
 
Kwanza kabisa confession ambazo zinaweza kumkwaza mwenza wako na kuharibu badala ya kujenga ni upuuzi kuzisema (na hivi unapoconfess madhambi yako kwa mwenza wako ni kwa manufaa yako au yake?)

Pili all that matters is love, na mnaweza mkaanza upya; na kuhusu mtoto hata kama sio wako cha maana ni malezi na unaweza ukamlea ukawa umechangia katika maisha yake kuliko yule aliyechangia kumleta duniani

Mwisho "If you cant Handle the Truth...." usipende kuchimba chimba mambo
 
WanaJF kama kawaida hii ndio kona yetu ya kubadilishana mawazo. Leo kuna jamaa yangu yamemkuta makubwa..Ni hivi: Anaye mke wake mjamzito wameishi pamoja sasa karibu miaka mitano.Mwanzoni mwa ndoa yao kiukweli jamaa yangu alikuwa hajatulia, waliendelea kuzinguana hivyo mpaka juzi kati nadhani mwezi wa nne ambapo jamaa yangu aliamua ku'confess' mabaya yote ambayo aliyafanya na kwa kweli bila kutegemea mke wake alimsamehe na kumuahidi upendo ilimradi tu yasijitokezee tena.Na jamaa yangu alimuombia mkewe ku'confess' kama alishawahi kumtenda..lahaulah..lakwata hapo ndo jamaa kabaki hoi bin taaban. Yaan mke wake huku akilia alimuambia kuwa ..aliamua kutembea na jamaa yake wa zamani baada ya kuona mshkaj anamzingua na hana uhakika kama hata hiyo mimba kama ni yake maana aki-backdate tarehe zinagongana na zile alizodate na Jamaa wa nje??..Amemuomba mume wake wasameheane waendelee kama kawaida..kwamba mbona yy kamsamehe..mshkaj kamuambia subiri....
jamaa kaja kuniomba ushauri..na mimi naomba kuwashirikisha wanaJF tumshaurije huyu mkuu??

maisha ni ubatili mtupu, hebu ishi kama marehemu mtarajiwa..
 
Asa Mandenyi wangu mbona hujatuambia kuwa hii quotation umeitoa katika kitabu ganni? au tuiite Mamndenyi 1:1-2??

Hii issue ni ya moto....ni rahisi kudai kuwa jamaa atulie kwa sababu ni yeye alianza.....Wewe mwanaume mwenzangu fumba macho ligeuzie kwako then uone utamu wake!!

Ni kweli jamaa alianza lakini hajatuambia kuwa alileta mtoto huko. Pengine alikuwa akitumia kinga na hivyo kujikinga pia na UKIMWI. Huyu mama anawasiwasi kuwa mimba ni ya jamaa yake wa zamani kwahiyo alipiga kavu kavu (hawakutumia kinga). Hii nayo ni issue kwani mbali na mimba huenda akrudi pia humo na UKIMWI.
Nashauri wakapime ngoma then mtoto akizaliwa wapime DNA.

Nawasilisha!

Hakuna kitabu, hiyo ni kuishi kwingi kuona mengi.
 
Hao wote wanafaana. Mwanaume hovyo na mwanamke naye kaoza.

They are a perfect match/ fit for each other.

And, can you love a person and still cheat on them?
 
Hao wote wanafaana. Mwanaume hovyo na mwanamke naye kaoza.

They are a perfect match/ fit for each other.

And, can you love a person and still cheat on them?

Wanaocheat ni wale wanaopendwa sana, huwezi kupenda kwa dhati ukamcheat mwenzio, ni kama kuchanganya maji na mafuta
 
And, can you love a person and still cheat on them?

Mkuu mbona that's obvious.., ukimpenda mtu ndio hautapenda kumuumiza (lakini cheaters cheat because of tamaa na inability to control their urges, they cheat with someone not because they love them, but just because they wanna have some good time, and in cheating they dont intend to get caught hence hurting their loved one )

To answer your question Yes you can love someone and still cheat on them..., people eating oranges does not mean mangoes is still their favorite and the best fruit which they can live without (its just human weakness to want everything even the ones they dont love)
 
Mkuu mbona that's obvious.., ukimpenda mtu ndio hautapenda kumuumiza

Sawia kabisa. Hivyo basi kama hautapenda kumuumiza hutafanya chochote kile cha kumuumiza. Sasa kwa nini ucheat huku ukijua tendo hilo la usaliti litamuumiza mwenzio? It makes no sense to me.

(lakini cheaters cheat because of tamaa na inability to control their urges, they cheat with someone not because they love them, but just because they wanna have some good time, and in cheating they dont intend to get caught hence hurting their loved one )

Still, if you love someone you won't do anything to hurt them. So why cheat? Doesn't cheating hurt the cheated?

To answer your question Yes you can love someone and still cheat on them..., people eating oranges does not mean mangoes is still their favorite and the best fruit which they can live without (its just human weakness to want everything even the ones they dont love)

Go back to your own words in red. Umesema "ukimpenda mtu ndio hautapenda kumuumiza" Sasa kama cheating inaumiza na wewe unasema hivyo kwa nini mtu acheat sasa wakati unajua itamuumiza mwenzio?
 
Mwambie kuwa,amsamehe mke wake yeye ni chanzo kwa 50%tu,hizo nyingine ni za mke wake kwani ni ujinga kufanya jambo au kuamua kuwa na tabia fulani yenye madhara kwako mwenyewe kwa sababu ya mtu!
 
Go back to your own words in red. Umesema "ukimpenda mtu ndio hautapenda kumuumiza" Sasa kama cheating inaumiza na wewe unasema hivyo kwa nini mtu acheat sasa wakati unajua itamuumiza mwenzio?
Mkuu maybe intentionally au unintentionally umeamua kutokuelewa what I said...

Mkuu ni kweli ukipenda mtu hautataka kumuumiza lakini (in the mind of cheaters) people don't cheat wakitegemea watashikwa, wanadhani wata-get away with it.. kwahiyo in their heads ni kwamba watapata good time at the same time mwenza wao hatajua hence hataumia... (people cheating don't intentionally hurt their partners.., hurt ni outcomes ya kushikwa kwao)
 
Back
Top Bottom