ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 24,812
- 60,672
Ama kweli aliyesema hawa viumbe sio watu huenda ni kweli ishini nao kwa tahadhari sana. Mimi JamiiForums kwangu ni sehemu ya kushare na nyinyi mambo mengi na tuko wachache ambao tuna uwezo wa kutoa mambo kuhusu maisha yetu binafsi ili walau mpate la kujifunza.
Sasa ili kufupisha stori nisiwachoshe sana jana limenikuta jambo. Kwanza tuanze na maelezo ya awali juzi nilileta mada kuhusu usahihi wa mke kupika na jirani yake wakashare chungu kimoja watu walinipa maoni yao wengine wakasema mtaishia kugongeana wake zenu humo ndani ama kweli wanajf mmepitia mengi na mnajua kweli buana yaliyotabiriwa ndo yaliyojiri jana.
Kama nilivyowaahidi sitaki kuwachosha na li thread refu. Nilipopanga kuna bodaboda mkewe kasafiri na yeye kwa sasa hana chombo so nawaacha na wife wanashida mchana kutwa na wife aliwahi kuniambia kwamba jamaa alimtongoza ila mimi sikutaka kumkanya jamaa hapa tunapata funzo namba moja kwamba wife wako akikuambia fulani anamtaka jua kuna uwezekano wanakula.
Tuendelee na stori sasa mimi jana nimetoka kazini nikapitia bar kama kawaida tukaangusha konyagi kubwa kabisa na washikaji zangu, baadae mida ya saa 4 pombe zikashuka chini nikaona acha nikazoe mzoga jalalani huko wa ten niuchallenge halafu niende home si unajua tena wanaume vijana ni majogoo wa mchongo ila kugongewa ndo kunauma ila sisi tuna Go kama ifuatavyo.
So nikauchuku mzoga nikafanya yangu guest nikachukua boda kwenda home. Saa 6 narudi home wife huwa nimemwambia me kazi yangu sometime naweza nisirudi nikapata mchoro fasta wa kwenda wilayani huko so nisiporudi asiwaze kumbuka simu yake haikuwa na chaji luku iliisha home.
Tukio: Nafika dirishani kwangu na slide kioo nimuamshe wife nakuta hayupo kitandani naenda sebuleni pia hayupo ikabidi nijiulize au kaenda kwao nikaelekea dirisha la mtuhumiwa wangu kumuomba anifungulie kweli akaja kunifungulia ile naingia chumbani namkuta wife eti kalala kitandani mimi kwa hasira nikatoka nje nikampigie simu mama yake nikamweleza kila kitu wife kaanza kunipanga eti kwamba alilala chini karibu na kitanda sababu ya joto feni halizunguki hamna umeme sasa mimi nikamuhoji ikawaje usinifungulie wewe na hata kama ulilala chini ikawaje urudi fasta kitandani me navyoingia.
Mambo yakawa mengi kumpa nauli laki na ishirini aende kwao akanitupia hela chini kisha akatoka na begi lake kasepa usiku saa 7 karudi nimfungulie alale me nikaona kweli isije ikawa case umemuacha mtu usiku kapata majanga nikamfungulia sasa asubuhi anagoma kwenda kwao kwamba mimi nimemsingizia blah blah kibao si unajua mwizi huwa hakubali kwamba kaiba.
Mimi sikutaka kelele za kumchafulia kwa majirani nikaja zangu job hapa napoandika hii thread natoroka job mara moja kwenda kumfukuza sasa sijui kama siendi kushuhudia fumanizi lingine la pili mchana.
Funzo hapa ni kwamba jinsia mbili tofauti zikikaa peke yao ndani ya nyumba lazima wakulane sijui kwanini wanawake wanatuvuruga namna hii yaani hata umpe million kuna boya mwingine anapewa bure.