Wanawake wengi ndivyo walivyo wengine chuki yao iko wazi wengine chini kwa chiniIla baadhi ya wanawake wana roho mbaya sana kwa ndugu wa mume daah. Hapo soon atakuja mtoto wa ndugu yake na ataona ni halali kuishi nae hapo
"Wazungu!"
Huyu ndio wa kwanza kuishi nae ila anadai aliwahi kuishi na mtoto wa ndugu wa mke sasa hivi yuko chuo. Kuhusu tabia za mtoto hakuna malalamiko hayoJe, kitu hiki kimeshatokea walipokuja ndugu wengine?
Kama jibu ni hapana
1. Akae na mke wake sehemu tulivu ikibidi nje ya nyumbani apige nae story, kujua changamoto ni nini kuishi na huyo mtoto
Huyo mtoto anaingia foolish age, umri ambao majority wanakuwa watukutu sana, viburi, dharau. Na kwa vile si mtoto wake na wazazi wake wapo hawezi kupata uhuru wa kumuadhibu anapokosea
Kama itaonekana mtoto ndo changamoto
Arudishwe kwao then baba yake mdogo sijui mkubwa awe anatuma hela za kusapoti
Kwenye ndoa kunahitajika hekima sana
There is no one answer fit all
Lakini kama ni tabia ya mkewe, inahitajika uvumilivu na maamuzi ya busara
Vinginevyo ajipange kwa ugomvi, mabishano, kununiwa, kukosa amani, kukosa hamu ya kurudi nyumbani
Mimi binafsi niliwahi kuishi kwa ndugu sababu ya umasikini wa baba yangu na si kwa matakwa yangu nilikuwa mdogo lakini nakumbuka mengi siwezi kuruhusu mtoto wangu akaishi kwa ndugu kamwe ila tu kwa kulazimishwa na hali ikiwemo kifo.Acheni kuzagaa Kwa ndugu aibu
😂😂😂😂yaan watu wanashida sana yaan uoe ww utoe mahar ww afu mwanamke akatae kuishi na ndugu zako.....aisee nyie wapole sana na wastaarabu wa landani na marekan huko .....yaaan🤕🤕🤕🤒👽.........wakati wengne wanaoa we unaenda oa chama cha upinzani......CHADEMA🤣
Kuna ndugu wengi upande wa huyo mtoto waishi nae kwanin walazimishe akaishi kwa mtu aloolewa hana undugu nae ?Mfano bibi hayupo itakuaje?