Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,992
- 168,529
Wakija, ananuna, anavuta midomo, anafanya vituko, atawananga, atawasema na kila tusi atawaporomoshea.
Wakija, ananuna, anavuta midomo, anafanya vituko, atawananga, atawasema na kila tusi atawaporomoshea.
wache waje siku wakikugongea ndiyo utatia adabu
washikaji wengine wanagegeda wake za watu kuwa makini. lakini kama mkeo simzuri apo sawa wache waje tu hm ata kama aupo swaga tu.
Jaribu kuongea na mkeo ujue tatizo ni nini. Yawezekana hao rafiki zako wanatabia mbaya au story mbaya juu ya maisha yao ndo maana mkeo anawachukia kwa kuhisi nawewe unazo au utaiga hizo tabia mbaya so kuendelea kuwa nao karibu kutakufanya nawe undelee kuwa na tabia mbaya.Wakija, ananuna, anavuta midomo, anafanya vituko, atawananga, atawasema na kila tusi atawaporomoshea.
tusiendekeze huyo wife anayeweza kuwapanulia marafiki zako huyo siyo wife ......hamna kitu hapo ,utakuwa unafyga matatizo ukijinasibu ni mke.
Wakija, ananuna, anavuta midomo, anafanya vituko, atawananga, atawasema na kila tusi atawaporomoshea.