Mke hataki marafiki zangu waje home

Mke hataki marafiki zangu waje home

kuna wanaume wanakuletea marafiki wa kike nyumbani kumbe mademu zao,hii imemtokea mtu namjua kabisaa,wanawake wawili,ndani ya mwaka mmoja bwana anajifanya wafanyakazi wenzake anakuja kuwaonyesha home kumbe hawara zake,je huyu mwanamke kama mumewe ni aina hiyo,unategemea atataka marafiki waje kweli?ukute marafiki wakiume wa mumewe wakija wanakuja kumbeba na kuondoka na mumewe na mume anaondoka hata wiki haonekani!jamani haya mambo yanatokea!kuna wanaume wanafanya mambo ya rangirangire!
 
Kama mkeo anafanya hayo bila sababu basi ni mgonjwa.
 
Kama mke wako hataki kuona marafiki zako kwako, inabidi ukubaline na ushauri wa mke wako sababu yeye ndo anajua mazuri kwenye nyumba yake.

Sa we unaona nani bora mke au marafiki :biggrin1:
 
Wakija, ananuna, anavuta midomo, anafanya vituko, atawananga, atawasema na kila tusi atawaporomoshea.

waambie rafiki zako wasije tena bali muwe mnakutana bar na uwe unarudi usiku wa manane ukiwa chakari, wife akiuliza unatoka wapi usiku mjibu ulikua bar na marafiki na ndio sehemu pekee yenye utulivu kukaa na rafikizo. ataelewa somo.
 
Hao marafiki zako labda wankuepo 24/7 sanyingine mtu mnaweza msifanye mambo yenu kisa kugandana na marafiki wasio na tija kwenye ndoa yako
 
Back
Top Bottom