Mke graduate


mkuu kudate nao na kuwaoa ni vitu viwili tofauti kabisa
 
Hiyo ni tabia binafsi wangu nimemuoa form 4 baada ya miaka tisa ya ndoa amepata degree heshima na raha kila siku.mwanamke msomi analeta mawazo tofauti kwa maendeleo ya familia
 
Daah hivi mnajua kuishi na mwanamke asiyekua na shule ni kazi rahisi? kila kitu unamuelekeza wewe kila kitu yani daah kweli usilolijua ni kama usiku wa giza..
 
Mkuu Eli79 njemba imekutana na changudoa mmoja mwenye degree basi anataka kuwaweka wanawake wote wenye degree kwenye kapu la uchangu doa.

Yaani hii tabia sio nzuri kabisa.
 
Last edited by a moderator:
Reactions: BAK
Waambie hawa waliong'ang'ana na walio kimbia umande.

Hiyo ni tabia binafsi wangu nimemuoa form 4 baada ya miaka tisa ya ndoa amepata degree heshima na raha kila siku.mwanamke msomi analeta mawazo tofauti kwa maendeleo ya familia
 

Mwanao wa kike umsomeshe mpaka form 4 uliyoitaja hapo juu ili apate mume kirahisi na pia asiwe na kazi kama

ulivyoandika hapo juu...... Una mawazo mgando sana kijana. Pole......Kalaghabao...!!!!!!
 
hope1985

kweli wew umeshatendwa ndo unakuja kuona wanawake graduate wanatabia kama hizo
 
Last edited by a moderator:
hope1985

Siyo wote wapo hivo. na pia kuna wanawake wenye shule ndogo wenye matatizo kuliko hao graduates unaowasema. Mimi nina mke graduate, tuna miaka 13 sasa, heshima ndo inazidi kuongezeka kila siku.
 
Last edited by a moderator:
Mamndenyi uwezowakewakufikiri umeishiahapo hata

Mkimtunukuu uprof kama was xxxxxx
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…