Baby is Mad
JF-Expert Member
- Nov 4, 2014
- 279
- 97
hehehe..ila watu wanashindwa kuelewa..mote mkiwa na kipato au kazi ya juu hamuwezi kuenjoy life.. mfano wote ni mameneja, kila siku safarini....mmoja akienda kaskazini mwingine kusini....uzoefu wangu wote huishia kufall kwa wenye elimu na kipato cha chini...mke atagongwa hata na dreva..mme atagonga hosekeeper wa hotel au barmaid. Ni kitu ambacho kiko wazi sana sijui kuna ugumu gani watu kuelewa. Mafahali wawili hawaishi zizi moja...mimi kama ikitokea mke akinizidi kipato wala sitakua na gubu...kazi yangu mimi ni kumpa raha tu...saa nyingine unakuta ni inferiority complex tu ya wanaume.
Kumbe ndio maana napewa raha tu