Mke graduate

Mke graduate

Mkuu huyo siyo elimu inamsumbua,itakuwa lazima ni amezaliwa kijijin kaingia mjini kwa miguu miwili,kwa hiyo anasumbuliwa na ushamba,ulimbukeni,umaskini na dhambi..wanawake wengi kama siyo wote waliozaliwa mjini na wakasoma hadi level hizo hawana tabia hizo..
 
Mimi bado nawashangaa wanaume wenzangu ambao wanang'ang'ania kuoa...
Siku hizi hakuna mwanamke wa kuoa hata mmoja....kula papuchi then chapa lapa....haina kuangalia nyuma...
Siku hizi mahaba hamna....
Yaani ni mwendo hit and run...

Acha kupotosha watu ww..wakati wako bado.
 
Hawaigan tu...wanaiga uzungu....hisia zina kipindi katka maisha ya ndoa inafiki kipndi mnachokana kabisaa...so inahitaj jitahada za makusud kufufua penz,lazima mmoja ajishushe...sie ni binadamu mkuu kuna muda tutazenguana tu....na wanaume tulio weng si wepesi kujishusha hata kama tumekosa ni asili hii tumeumbwa hivyo...so inahitajika busara ya kike ili mambo yaende....

unadhani wazungu wanafanya wayafanyayo kwa sababu ni weupe? ni kwa sababu ya mfumo wa uchumi ambao huathiri mifumo mingine ya kitaasisi ikiwemo taasisi ya ndoa. Hata hapa kwetu sijafanya utafiti lakini ndoa za wamasai na wamang'ati walioko maeneo yao ya asili zitakuwa zinadumu zaidi kuliko za wakazi wa dar.

Hilo la mwanaume kutokuomba msamaha siamini kama ni tatizo la kuzaliwa bali la kimalezi maana nawajua wanaume wanaoomba samahani, wanaotoa pole na kusifia mambo mema. Hawa ni wale wanaoamini kuomba kwao msamaha au kuwapa pole wake zao hakuwapunguzii uanaume bali huongeza heshima na kudumisha mahusiano. Katika malezi kitu cha kwanza tunachosisistiza kwa watoto ni jinsi ya kuishi na watu. Hivyo tunajitahidi kuwafundisha kusema asante, kuomba samahani, kushea n.k. Na ukimletea mwanao kitu akipokea na asiseme asante unaweza kumuadhibu. Ukimfanyia mtu mzima mwenzio jambo na asikushukuru kinakuuma unaenda kumwambia mtu mwingine kuwa flani hana shukrani, au unaamua kutokumsaidia siku nyingine. Sasa kama tunawasalimia watu tusiowajua, tunaomba samahani kwa mabosi na wafanyakazi wenzetu, tunawasifia watu wa nje kwa kazi nzuri au kwa kupendeza, tunawapongeza na kuwahurumia ili kudumisha umoja na amani, iweje inapofika kwenye uhusiano wa mume na mke lishindikane?? Hayo maumbile ni maumbile gani yanabadilika kulingana na sehemu? Maneno ya asante, samahani, hongera, pole, nakupenda ni mafupi ila yana uwezo mkubwa wa kuyeyusha hasira, vinyongo, uchoyo n.k. Ni tabia tu, na tabia unaweza kuipata kwa kujifunza. Kusema busara ya kike inatakiwa ili mambo yaende ni sawa, ila kama ambavyo mwanaume hajaumbiwa kujishusha, mwanamke pia hajaumbiwa busara kiasili. Busara ya kiume pia inahitajika kujua una mke wa aina gani, ili ujue unaishi nae kwa akili ipi.
 
Afrika bado una safari ndefu sana! Wanauume wanazidi kupungua kila kukicha tumesomesha vijana wetu ili waliletee taifa maendeleo matokeo yake wanaogopa hata wanawake! Ndio tunasubiri walete technolojia na uvumbuzi wa kisayansi yaani tutangoja sana maana hawawezi any challenges kwa dunia ya sasa!
Kuoa mwanamke yoyote ile inahitajika akili na busara kumuelewa . Wanawake ujiwajulia hawatakusumbua hata kama ni profesakwa jinsi comments zilivyo hapa naona hata mkioa panya mtasumbuka sana.
Vijana mjiamini nyie ni wanaume na ni kichwa cha familia na hakuna mtu yoyote atakaye chukua au kupunguza uanaume wako ila fanya yale wanaume wanaotakiwa kufanya.
 
Hawa viumbe dawa yao pekee ni hela, watakuheshimu sana. Baada ya hivyo vyote uwatimizie na haja zao za kimwili
 
Mwanaume huu ni ushauri wangu na uzoefu wangu maana niliwahi kuishi na mwanamke mwenye degree tena ya ualimu ni shida.

Kwanza graduates wengi wakati wowote akitokea mtu mwenye pesa nyingi kukuzidi ni rahisi sana kukuacha, wana tamaa sana. Pili wengi wao wametumika sana tena sana. Tatu hawataki uwakosoe na akikosea ukamkemea basi jua hatokubali zaidi ataanza kuleta porojo za kutetea alichofanya.

Nne wanajisikia sana hasa kama akiwa anafanya kaza na yeye anataka awe mwanaume ukimgusa tu atakwambia muachane maana anajua ana uwezo wa kulipa kodi. Tano wana marafk wengi sana wa kiume kuliko wa kike na kujidai kuishi kzungu yaan haoni hatari kula denda na mfanyakazi mwenzie au kukumbatiana au kupigiana na kuandikiana sms za usiku mwema hasa nyakati za usiku.

Sita hawana mapenzi ya kweli, anakuenda ukiwa nazo tu siku zikitoweka ujue ndo mmeachana.

Ushauri: Usikimbilie kuoa mwanamke graduate wakati wapo kibao form 4, na certificate kwani huenda utajipunguzia siku za kuishi kwa mawazo, maana mwanamke graduate omba asipate kazi, akipata ujue na yeye anaota ndevu, humwambii kitu.

Tuko pamoko!
 
----...
 
Dah, mkuu hope1985 umegusa mulemule aisee me nilikuwa nae wangu wote ni graduates ila yeye kapata kazi kabla yangu tumekaa miaka sita ila baada yy kupata kazi kanivumilia mwaka mmoja tu kaanza kunifanyia vituko nikimuuliza anakuja halafu yy yupo mbali na mm. Juzi kati ameamua kunichana live hataki kuwa na mm na kigeo kikubwa ni kazi hakuna sababu nyingine. Kweli inabidi tukatafute form 4 au certificate kidogo stress zinaweza kupungua.
 
kazi kweli kweli......darasa la saba shida,form four shida,form six shida,graduate shida,masters shida...PHD hao ndo kabsa...ss jema liko wapi....hata ambae hajasoma kbsa shida...mnaaka wa wapi sasa???/..kila siku kuwasema heee
 
nimesema "aoe mjinga au mwenye elimu ndogo". Elimu ni "scalar". Neno mjinga hapo limetumika kumaanisha asiyeenda shule. Na nijuavyo mimi mwanamke akijiweza kiuchumi huhitaji mwanaume kwa ajili ya ulinzi wa kihisia. Sasa asipoupata huwa hana sababu ya kukaa na mwanaume kwa ajili ya "itifaki". Mwanamke asiye na elimu au fedha humtegemea mwanaume kwa ulinzi wa kifedha na kihisia. Asipopata ulinzi wa kihisia huendelea kubaki kwa ajili ya ulinzi wa kifedha. Akipata ulinzi wa kihisia akakosa wa kifedha uwezekano wa kuvumilia shida za kiuchumi ni mkubwa. Elimu na kipato vina athari chanya au hasi kwenye mahusiano. Na wasomi hawawezi kufanana mienendo na maamuzi. Kila mmoja anaathirika kipekee hivyo sidhani kama ni sahihi kusema wanaigana.

Sijaelewa vizur ulinzi wa kihisia ni upi mkuu
 
muulize profesa J, akwambie vizuri kilichomtuma kuoa sitimbi
 
hakuna uhusiano was elim name Tania ya MTU tusuishi kwa kukariri..
 
Vile ufikiriavyo ndivyo akili zako zilivyo. Pole sana una mtazamo finyu kupindukia!!
 
Back
Top Bottom