Jerrymsigwa
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 14,084
- 8,400
Kwenye kutumika hapo duh nakubaliana na ww ila mengine huenda ni mtu na mtu tuu
LolestNi kweli kabisaaaa! Ili mtu akuheshimu lazima umzidi kitu! Chochote kile, either uzuri wa sura, pesa, elimu, anything ili ukitumie kama fimbo kumchapia na kumrudisha kwenye mstari. Mfano umeoa graduate oa Uglybet hata akikuzidi hela utatumia muonekano kumrudishakwenye mstari japo hela kakuzidi.
Alafu watu wanakurupukaga tu kupima utulivu wa mtu. Mfano watu wanasema Wema Sepetu mala.ya afu wao ndo wametulia! Psheeeeeeeeeew! Wema anatongozwa na wanaume mamia, wazuri, wenye hela zao, maisha ya maana, exposure, daily, akilala na kumi tu mala.ya! Wakati wao wanatongozwa na wanaume 6 kati ya hao 6 kalala na 3 tayari! Tobaaaaaaa! Na hao sita wnyewe wakuokoteza hawana hata vigezo. Tukiumia ratio analysis nani ma.laya? Je wao wangekuwa wema kwa ratio yao hio ya 50% si ingekuwa balaaa!
Ni kweli kabisaaaa! Ili mtu akuheshimu lazima umzidi kitu! Chochote kile, either uzuri wa sura, pesa, elimu, anything ili ukitumie kama fimbo kumchapia na kumrudisha kwenye mstari. Mfano umeoa graduate oa Uglybet hata akikuzidi hela utatumia muonekano kumrudishakwenye mstari japo hela kakuzidi.

Mwanamke ni mwanamke tu, awe ana Elimu ya chuo, sekondari, msingi au chekechea atabaki kuwa chini ya uongozi wa mwanaume ndani ya nyumba. Kinachotakiwa uwe mwanaume wa ukweli tu.
Ni kweli kabisaaaa! Ili mtu akuheshimu lazima umzidi kitu! Chochote kile, either uzuri wa sura, pesa, elimu, anything ili ukitumie kama fimbo kumchapia na kumrudisha kwenye mstari. Mfano umeoa graduate oa Uglybet hata akikuzidi hela utatumia muonekano kumrudishakwenye mstari japo hela kakuzidi.
Alafu watu wanakurupukaga tu kupima utulivu wa mtu. Mfano watu wanasema Wema Sepetu mala.ya afu wao ndo wametulia! Psheeeeeeeeeew! Wema anatongozwa na wanaume mamia, wazuri, wenye hela zao, maisha ya maana, exposure, daily, akilala na kumi tu mala.ya! Wakati wao wanatongozwa na wanaume 6 kati ya hao 6 kalala na 3 tayari! Tobaaaaaaa! Na hao sita wnyewe wakuokoteza hawana hata vigezo. Tukiumia ratio analysis nani ma.laya? Je wao wangekuwa wema kwa ratio yao hio ya 50% si ingekuwa balaaa!
Kwaiyo watakaje labda?
"kula denda na mfanyakaz mwenzie "
Hahahaha yaani nimeangalia Midomo ya Kakazangu hapa Ofisini , nikapiga picha nalana nao Madenda hehehehe No way sweet siyo rahisi hivyo bwana wewe Demu wako alikuwa Mapepe tu with or without Graduate
Hata mie hiyo generalization sikubaliani nayo hata..!
hehehe..ila watu wanashindwa kuelewa..mote mkiwa na kipato au kazi ya juu hamuwezi kuenjoy life.. mfano wote ni mameneja, kila siku safarini....mmoja akienda kaskazini mwingine kusini....uzoefu wangu wote huishia kufall kwa wenye elimu na kipato cha chini...mke atagongwa hata na dreva..mme atagonga hosekeeper wa hotel au barmaid. Ni kitu ambacho kiko wazi sana sijui kuna ugumu gani watu kuelewa. Mafahali wawili hawaishi zizi moja...mimi kama ikitokea mke akinizidi kipato wala sitakua na gubu...kazi yangu mimi ni kumpa raha tu...saa nyingine unakuta ni inferiority complex tu ya wanaume.Hahahahaa umetisha...
hehehe..ila watu wanashindwa kuelewa..mote mkiwa na kipato au kazi ya juu hamuwezi kuenjoy life.. mfano wote ni mameneja, kila siku safarini....mmoja akienda kaskazini mwingine kusini....uzoefu wangu wote huishia kufall kwa wenye elimu na kipato cha chini...mke atagongwa hata na dreva..mme atagonga hosekeeper wa hotel au barmaid. Ni kitu ambacho kiko wazi sana sijui kuna ugumu gani watu kuelewa. Mafahali wawili hawaishi zizi moja...mimi kama ikitokea mke akinizidi kipato wala sitakua na gubu...kazi yangu mimi ni kumpa raha tu...saa nyingine unakuta ni inferiority complex tu ya wanaume.
Ebu mwambie huyo....tatizo vijana wengi wanakariri sana...mimi nishakua na demu mwenye PHD, na heshima ilikua tele tu...sijawai kudate demu asiye kuwa na masters degree....na wote walikua wananipa heshima kibao..elimu yangu mimi ni fom fwo ya ya kufeli. chezea mimi wewe.