Mke graduate

Mke graduate

Mie ninao wawili, wanajuana, sijawahi kumhonge yeyote yule, tunaishi kwa amani tu. Inatupasa kuishi na wanawake kwa akili na sio mabavu.

Mda mwingi nnatumia psychology kuwacontrol, wote wapo online, kazi inapigwa kama kawa, mpaka wanagoma wenyewe ( I am mult-orgasmic man).
 
Mwanaume huu ni
ushauri wangu na uzoefu wangu maana niliwahi kuishi na mwanamke mwenye
degree tena ya ualimu ni shida.

Kwanza graduates wengi wakati wowote akitokea mtu mwenye pesa nyingi
kukuzidi ni rahisi sana kukuacha, wana tamaa sana. Pili wengi wao
wametumika sana tena sana. Tatu hawataki uwakosoe na akikosea ukamkemea
basi jua hatokubali zaidi ataanza kuleta porojo za kutetea alichofanya.

Nne wanajisikia sana hasa kama akiwa anafanya kaza na yeye anataka awe
mwanaume ukimgusa tu atakwambia muachane maana anajua ana uwezo wa
kulipa kodi. Tano wana marafk wengi sana wa kiume kuliko wa kike na
kujidai kuishi kzungu yaan haoni hatari kula denda na mfanyakazi mwenzie
au kukumbatiana au kupigiana na kuandikiana sms za usiku mwema hasa
nyakati za usiku.

Sita hawana mapenzi ya kweli, anakuenda ukiwa nazo tu siku zikitoweka
ujue ndo mmeachana.

Ushauri: Usikimbilie kuoa mwanamke graduate wakati wapo kibao form 4,
na certificate kwani huenda utajipunguzia siku za kuishi kwa mawazo,
maana mwanamke graduate omba asipate kazi, akipata ujue na yeye anaota
ndevu, humwambii kitu.

ishiiiiiiiiiiiii
 
Back
Top Bottom