instagramboy
JF-Expert Member
- Oct 16, 2014
- 1,521
- 346
Ahahahahhahahh mtoa mada yamemkuta
binafsi elimu syo kioaumbele cha kwanza cha mapenz
binafsi elimu syo kioaumbele cha kwanza cha mapenz
Sawa shemasi wa zamu umeeleweka vzuri
Ushauri: Usikimbilie kuoa mwanamke graduate wakati wapo kibao form 4, na certificate kwani huenda utajipunguzia siku za kuishi kwa mawazo, maana mwanamke graduate omba asipate kazi, akipata ujue na yeye anaota ndevu, humwambii kitu.
Ndiyo maana nikasema MWANAUME wa ukweli.
Hii dalili ya kutokujiamini.Utatishwaje na elimu ya mtu?labda kama kungekua na degree au masters ya mahusiano ilihali we huna lakini izi zingine zinakutishaje mwanaume?
Mwanaume huu ni ushauri wangu na uzoefu wangu maana niliwahi kuishi na mwanamke mwenye degree tena ya ualimu ni shida.
Kwanza graduates wengi wakati wowote akitokea mtu mwenye pesa nyingi kukuzidi ni rahisi sana kukuacha, wana tamaa sana. Pili wengi wao wametumika sana tena sana. Tatu hawataki uwakosoe na akikosea ukamkemea basi jua hatokubali zaidi ataanza kuleta porojo za kutetea alichofanya.
Nne wanajisikia sana hasa kama akiwa anafanya kaza na yeye anataka awe mwanaume ukimgusa tu atakwambia muachane maana anajua ana uwezo wa kulipa kodi. Tano wana marafk wengi sana wa kiume kuliko wa kike na kujidai kuishi kzungu yaan haoni hatari kula denda na mfanyakazi mwenzie au kukumbatiana au kupigiana na kuandikiana sms za usiku mwema hasa nyakati za usiku.
Sita hawana mapenzi ya kweli, anakuenda ukiwa nazo tu siku zikitoweka ujue ndo mmeachana.
Ushauri: Usikimbilie kuoa mwanamke graduate wakati wapo kibao form 4, na certificate kwani huenda utajipunguzia siku za kuishi kwa mawazo, maana mwanamke graduate omba asipate kazi, akipata ujue na yeye anaota ndevu, humwambii kitu.
Mzee kuoa ni zaid ya mahusiano mkuu....inafika kipind ulivyo navyo vinatumika kuleta heshima...oa mke alokuzid elimu uone!!!
Mi ni mwanamke.Ningekua mwanaume isingetisha .
Mwanamke ni mwanamke tu, awe ana Elimu ya chuo, sekondari, msingi au chekechea atabaki kuwa chini ya uongozi wa mwanaume ndani ya nyumba. Kinachotakiwa uwe mwanaume wa ukweli tu.
Ebu mwambie huyo....tatizo vijana wengi wanakariri sana...mimi nishakua na demu mwenye PHD, na heshima ilikua tele tu...sijawai kudate demu asiye kuwa na masters degree....na wote walikua wananipa heshima kibao..elimu yangu mimi ni fom fwo ya ya kufeli. chezea mimi wewe.
Mzee kuoa ni zaid ya mahusiano mkuu....inafika kipind ulivyo navyo vinatumika kuleta heshima...oa mke alokuzid elimu uone!!!
Unaropoka mkuu....ila kiuhalisia wanawake walosoma hasa elimu ya dgree weng wao hawana malengo ya kuish na mume hasa wakiwa vyuon...anakwambia m nkipata kazi yangu nna mwanangu naishi mwanaume wa nn....
so ni ngumu kwa mwanamke mwene mawazo hayo kuja kuwa chini yako...migogoro haitaisha umo ndan
....mi ni mmoja ya wasomi....na nmedate wanawake weng tu wasomi kuna siku le mbebez ashanambiaga wanaouting its ladies nite so nimwache aende club na mashost zake...nkamruhusu bt as "a men" tayar nlishampunguzia maksi za kuwa mke
Hivi unahitaji heshima wakati huna unachonizidi... wasomi watakusumbua kma mwanaume ujielewi alafu maisha ni mipango kuwa na mipango mwonyeshe mkeo kuwa unaweza si umekaa lege lege hata mimi nakuacha tena kwa sherehe kubwa
Tujuze mkuu umefikia kiwangogani cha kisomi?