Mke awaunga kwenye Group moja michepuko 7 wa mume wake

Huyo mwanamke anaacha kushukuru mume wake hana mume mwenzie.. Ye anamfanyia figisu rijali kamili 100% hajui siku hizi wanaume kibao wana wanaume wao.
Angekuta jumbe za mumewe anapumuliwa si angejiua huyu
Acha kudhalilisha wanaume, eti wanaume Kibao wanapumuliwa? Wewe ni mmoja wao?
 
Sasa kama mke kaondoka, si ndio jamaa aendelee na life lake.. kwa amani

Hivi unahisi ni rahisi namna hii?.

jamaa ana michepuko 7. Kwahiyo jamaa ni Malaya,.
Ila kwake anayempenda na kumtaka ni mke wake ambaye ana watoto watatu nae.

Hawa wengine ni tamaa tu za kimwili.
Pengine alikuwa anajua kuna kitu kigen atakutana nacho kwa hao 7 wa nje. Kumbe ni yale yale tu.

Kuna wanaume kuwa na wanawake nje ni Hulka. Na sio kwamba ana mapenzi na hao michepuko.
Na utakuta ni wa hovyo zaid ya mke wake.
 
Sasa kama mke kaondoka mwenyewe afanyaje ?

Na kama mke kaenda huko kutiwa 😎😎
 
Mwanamke kukulipizia kama umecheat hiyo inabidi ukubaliane nayo. Na hauwezi kujua ni lini kafanya hivyo.

ila wanawake wako smart, hasa hawa wake za watu. Anaweza akatoka kwako na akaenda hata kwa ndugu zake au ndugu zako wa karibu , akawahadithia nn kimetokea na akawaambia wasikuambie yeye yuko wapi.

Kwahiyo ww unapiga simu kumuulizia, wanasema hawajui kumbe wakat ni hao hao wanajua yeye yuko wapi.

Ishatokea hii kwa watu wawili ninaowafahamu.

Kwahiyo Mawazo ya Sijui kaenda kwa mwanaume yatoe.
 
Huwezi toa mawazo ya kwamba hajaenda kugongwa wakati wapo wanaofanya hivyo.
 
Hivi ww unaendekeza huu upuuzi huku ukijua wazi kuwa raia namba mbili wa nchi hii ajulikana alipo.
 
X wako si mmeshamalizana.
Kila mfalme na zama zake.

Waache waendelee na maisha yao.
Maisha yapi waendelee nayo?

Mimi huwa sipendi kuona ex wangu ana amani, lazima niwaunge group yeye na milupo yake wawe wanataka au hawataki 😹😹😹
 
Kama anaweza kuchepuka na saba kupata mwingine ni kugusa tu

Amwache tu huyo mke na asimtafute atafute mwingine aoe kbs
 
Mm nisinhejitoa ngewambia alie tayari kuwa na mm asijitoe
 
Back
Top Bottom