MKE ASIYE TII ANAFAA ADHABU GANI?

MKE ASIYE TII ANAFAA ADHABU GANI?

Kati ya mwanaume na mwanamke nani anatakiwa kumshauri mwenzake?! Yani mwanaume unatoa ushauri badala ya maelekezo??!! Na mwanamke nae akupe nini?

Toa maelekezo yafuatwe mara moja. Akikengeuka mlambe vibao vya maana!
 
Nimekupatia options:
-myajenge
-anzisha timbwili
-kausha muendelee kuishi
-weye ndiyo umuombe msamaha kwa makosa yake
How do you find it,fella?
Dada ake umenipa options nzr kabsa

Timbwili - naona kama najizalilisha kwa majirani

Tuyajenge-hiyo njia nmeitumia sana bado anarudia yaleyale

Kukausha- inakuwa ngumu kwa sababu anavyofanya inanizingua na kunivuruga kiasi cha kutoweza kuendelea na shughuli zingine!

Kumuomba msamaha- hapo nitakuwa nimempa go ahead hapo ndo nitakuwa nimekwisha.

Option niliyoiona nimurudishe kwa baba na mama yake kwa sababu niwaelewa wazr sana na ikishindikana basi nitachukua hatua nyingine stahiki!
 
Kuna muda inabidi utambue hata mtoto mdogo unaweza kumwambia acha akakutizama na akaendelea
Siyo kwamba hajakusikia ila hajaona sababu ya msingi ya kumwambia acha.
Let her learn from her own mistakes
 
Dada ake umenipa options nzr kabsa
Timbwili - naona kama najizalilisha kwa majirani
Tuyajenge-hiyo njia nmeitumia sana bado anarudia yaleyale
Kukausha- inakuwa ngumu kwa sababu anavyofanya inanizingua na kunivuruga kiasi cha kutoweza kuendelea na shughuli zingine!
Kumuomba msamaha- hapo nitakuwa nimempa go ahead hapo ndo nitakuwa nimekwisha.
Option niliyoiona nimurudishe kwa baba na mama yake kwa sababu niwaelewa wazr sana na ikishindikana basi nitachukua hatua nyingine stahiki!
Kwa hiyo mimi ni "dada"?Hujui hata kusoma herufi ndiyo maana unapelekwa mbiombio na kasichana.
 
Kwa hiyo mimi ni "dada"?Hujui hata kusoma herufi ndiyo maana unapelekwa mbiombio na kasichana.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sasa mkuu kwako nmeomba msamaha kwa sababu unastahili .nisamehe bure
 
Tumia ramentia tanganyikana na ramentia angilikana ya gereza la butimba Mwanza.
Okoa watoto au majirani, and let the bitch go!!
 
Weye cheka tu.Na akirudi kutoka kwao lazima akuchabange makofi uanze kulialia JF!
Kuchabanga hawezi kwa sababu Mimi mwenyewe sio mdogo kihvo.hapa JF ni familia
 
Likizo tyr imeanza mkuu
Sawa huenda akirudi atakuwa sawa maana si unauja tena mnalala wote mnaamka wote kila siku so inafika stage mwenziwako anakuzoea kupita kiasi. Hiyo itasaidia.
 
Sawa huenda akirudi atakuwa sawa maana si unauja tena mnalala wote mnaamka wote kila siku so inafika stage mwenziwako anakuzoea kupita kiasi. Hiyo itasaidia.
Nashukuru sana.na mwenyewe naomba Mungu asaidie ilete matokeo chanya!!
 
Back
Top Bottom