Kete Ngumu
JF-Expert Member
- Nov 21, 2014
- 6,661
- 6,909
Huyo ni kikwazo ktk maisha yako mkuu, chakufanya ungana na majirani abaki peke yake kama bado mzigo unalipa ila kama vipi mchape red.
Waku habari ya kutwa?
Hivi inapotokea mke yupo tyr kukanusha kila jambo unalomlishauli na kwenda mbali zaidi kufikia hatua ya kukuchonganisha nje na majirani kwa ya mashauli uliyompa dhidi ya majirani haohao!
mke wa hivi anapaswa adhabu gani kwa hali kama hizi?