MKE ASIYE TII ANAFAA ADHABU GANI?

MKE ASIYE TII ANAFAA ADHABU GANI?

Mke ukisha mwonyesha unampenda Sana anaanza kuota mapembe .. chamsingi mrudishe kwao na umpotezee kwa muda flan hivi hakika atajifunza kitu
Wazazi wake wanakataa hata yeye mwenyewe anakataa
 
Kuna msemo wetu wa kiafrika unasema "mwanamke sura tabia mtafundishana ndani ya ndoa" mkuu nakusihi uyazingatie maneno ya wahenga, kama hatabadilika oa mke mwingine atatii tu.
Mkuu umenena vyema na nakubaliana na wew,ila najitahidi ninavyoweza ila baadae anajisahau anardia yaleyale
 
Let it go if u don't want me to papture the meaning behind your message!
Mpenzi wako amekukosea halafu haujui ufanyeje?Fanya hivi;
-mkalishe chini umueleze ulivyokwazika aelewe
-msikilize nini tatizo
-myajenge upya au liwe timbwili
Sasa basi,ukishindwa hayo weye ndiyo umuombe msamaha.Is that so much hard?
 
Msamaha ukimuomba anaweza asione nini maana yake ya kufanya hivo
 
Usimpe tendo la ndoa mwaka mzima alafu akichepuka talaka tano
 
Waku habari ya kutwa?

Hivi inapotokea mke yupo tyr kukanusha kila jambo unalomlishauli na kwenda mbali zaidi kufikia hatua ya kukuchonganisha nje na majirani kwa ya mashauli uliyompa dhidi ya majirani haohao!

mke wa hivi anapaswa adhabu gani kwa hali kama hizi?

Wewe ulipoacha kumtii Mungu alikufanyaje?
 
Mfunge jiwe la kusagia unga shingoni na mtose baharini
 
Waku habari ya kutwa?

Hivi inapotokea mke yupo tyr kukanusha kila jambo unalomlishauli na kwenda mbali zaidi kufikia hatua ya kukuchonganisha nje na majirani kwa ya mashauli uliyompa dhidi ya majirani haohao!

mke wa hivi anapaswa adhabu gani kwa hali kama hizi?
Dah..Kiasili..mende kufa sana ndiyo ulinzi wa nyumba kuliko kupanda farasi..hii ipo kikatiba na kisayansi..na ndiyo ubosi unapatikana..
Tangu mwaka 1992 katiba ya nchi ilirekebishwa....
CCM imechokaaaa[emoji1634][emoji2417][emoji56][emoji56][emoji1787][emoji2539]
 
Hastahili adhabu yoyote bali mumewe anastahili afungwe jiwe kubwa la kusagia kisha atoswe baharini.
 
Back
Top Bottom