MKE ASIYE TII ANAFAA ADHABU GANI?

MKE ASIYE TII ANAFAA ADHABU GANI?

Waku habari ya kutwa?

Hivi inapotokea mke yupo tyr kukanusha kila jambo unalomlishauli na kwenda mbali zaidi kufikia hatua ya kukuchonganisha nje na majirani kwa ya mashauli uliyompa dhidi ya majirani haohao!

mke wa hivi anapaswa adhabu gani kwa hali kama hizi?
Mkuu, una uhakika huyo ni mkeo? Una uhakika anatambua kuwa yeye ni mkeo?
Kama kila mtu miongoni mwenu anatambua nafasi yake sidhani Kama ungeleta hili swali hapa jamvini.

Kama huyo Ni mkeo unashindwa vipi kumnyoosha? Labda unampenda sana, ila hebu shika moyo wako uambie usiingilie kazi ya ubongo wako kisha fanya maamuzi sahihi. Unajua cha kufanya ila moyo wako ndio kikwazo.

Ukiona maamuzi yako yamefanya kazi basi kweli huyo ni mkeo na hata yeye anatambua hilo Kama atadharau maamuzi yako basi ulikuwa unaishi na mke ambaye hajaridhia kuwa wewe ni mumewe
 
Kaa nae chini muonye, tena ukiwa serious kabisaaa! Ongea nae kama ni wa kubadilika atabadilika kama sio kuna msheenga mshirikishe hilo pia!
 
Mkuu ni mke wangu na nampenda sana ila mwenyewe maswali kama haya nimeshamuuliza kuwa anatambua kama ni mke wangu anakili kuwa mimi ni mmeo!

Ila pia nampenda sana yaani naona giza mbele nikijaribu kuchukua hatua ya kumuacha
 
Mrudishe kwao kwa muda usiojulikana

Amesha gundua unampenda mzee baba Uuuwiii Uuuuwwiiiii Uuuwiii Uuuwiii Uuuuwwiiiii yaaan utateseka
Nakupa Siri kuwa mkali Kama mbogo siku mbili atajirudi
Sasa ww endekeza kupenda hakika utajutaaaa maisha yako yooooteee
 
Kaa nae chini muonye, tena ukiwa serious kabisaaa! Ongea nae kama ni wa kubadilika atabadilika kama sio kuna msheenga mshirikishe hilo pia!
Huo ni ushauri bembeleshi, dawa ni rungu la utosi kama la jamaa flani, ukipelekwa segerea pale ndani kuna wabobezi wa sheria..[emoji851][emoji851]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kamsemee kwa baba.
 
Mkuu ni mke wangu na nampenda sana ila mwenyewe maswali kama haya nimeshamuuliza kuwa anatambua kama ni mke wangu anakili kuwa mimi ni mmeo!

Usitumie tu masikio kusikiliza maneno yake bali tumia fikra kuchanganua kwa kina Kama maneno hayo yanamaanisha kile kinachosemwa. Huenda anajibu tu ili usiendelee kumhoji.

Ila pia nampenda sana yaani naona giza mbele nikijaribu kuchukua hatua ya kumuacha

Kupitia hii kauli yako nimegundua tatizo ni wewe. Umeonyesha mbele ya macho yake kuwa u dhaifu kwake. Umempa jeuri na anajua huna ujanja kwake, amekuweka kwenye kiganja hufurukuti yaani hupindui kwake. Kwanini unaruhusu hali hii mkuu? Wala huhitaji kumuacha bali unatakiwa umfunze adabu, umuonyeshe wewe ndiye mume na yeye ni mke hivyo asikuchukulie poa hata Kama anatania.
 
Hivi mkuu huwez kumsitir mume wako??
Kwa nn unapenda tuongee mambo yetu hapa lkn
We ni mwanamke uliyefundwa atii
Usifanye hivo bn
Wewe ni mume wangu mkuu? Kuanzia lini hii
 
Usitumie tu masikio kusikiliza maneno yake bali tumia fikra kuchanganua kwa kina Kama maneno hayo yanamaanisha kile kinachosemwa. Huenda anajibu tu ili usiendelee kumhoji.

Kupitia hii kauli yako nimegundua tatizo ni wewe. Umeonyesha mbele ya macho yake kuwa u dhaifu kwake. Umempa jeuri na anajua huna ujanja kwake, amekuweka kwenye kiganja hufurukuti yaani hupindui kwake. Kwanini unaruhusu hali hii mkuu? Wala huhitaji kumuacha bali unatakiwa umfunze adabu, umuonyeshe wewe ndiye mume na yeye ni mke hivyo asikuchukulie poa hata Kama anatania.
Mkuu umeongea neno la msingi!
 
Back
Top Bottom