Mke anatambia ndumba za ukeni!

Mke anatambia ndumba za ukeni!

kwa sisi tuliyolelewa na mabibi,masomo,makugwi huku sisi tukiwa tunaitwa wari hatuhitaji hayo madude,mchawi wa mapenzi ni wewe mwenyewe nenda uendako mwanaume usipomtimizia anachotaka utamchelewesha kukuacha lakini lazima akuache.nyama,madawa ya nini kwenye ummu wangu kisa cha kupata magojwa ya kujitakia lohhhhh achen hizo!!
 
mwanangu hii nilisikiaga kwa wajita na wakerewe kama mpo naomba mtujuzeni ata mimi huwa nasikia wanasema, kwa wahaya wanakitu moja inaitwa NKULATA(nifuate) na NSHUNTAMA(kaa chini) nasikia ukitia tu mguu umeliwa ndugu zako watakuwa wanaona manyoa tu!!

hayo uyasemayo nikama wimbo wa taifa kwa wahaya (SAMAHANI) kwamana ninayasikia na nimeishaona kwa mzee mmoja ambae nijirani yangu.
 
Ahaaaa ndio maana.ngoja nikaliazishe shemeji yenu ataniambia ukweli kwanini nampenda hadi napitiliza.
 
Utashauri wangapi?
ushirikina ni wide spread culture Tanzania
hata wewe yawezekana ulishalishwa uchafu tele ila hujui
unajua hata mama ntilie na wenye restaurant wanawalisha wateja uchafu huo huo ili wadhibiti soko?
go figure now
Hapo umesema ndugu yangu kwa kuwa imeandikwa ufanikiwe kama moyo wako ufanikiwavyo na hii ndiyo siri kwanini wema na wabaya wote wakiomba hufanikiwa bila kujalisha anayeombwa ni mungu yupi hata mungu jua huleta majibu unayoyahitaji kulingana na moyo wako ulivyopinda; vimbwanga na vibweka vya waganga ni mchakato tu wa kuupindisha moyo wako ufikie kiasi cha imani kinachohitajika ili kuachilia kile moyo wako unachotamani kukifanikisha. Hata kama hiyo nyama ingechimbiwa kaburini halafu ndipo ikakaangwa ingeleta matokeo yaleyale ili mradi muhusika ameamini hadi kufikia kiasi cha imani husika kumpatia sumaku ya kutosha kuvuta anachokitaka.
 
hahaaa!limbwata la unyamwezini hilo
wala usithubutu kufungua mdomo wako
coz yule akili ishachotwa mtakosana bure!
 
haya mambo yapo mpaka nigeria na wao wanatumia huo mchezo,saa nyengine maji yanachambiwa ndani ya sufuria,hayamwagwi halafu yanapikiwa.isije ikawa jamaa ana mapenzi na mkewe kwa sababu ya upishi wa biriani.maana kama jamaa anapenda kula kula,na biriani linatakiwa ujuzi,mke analipatia na sio mavitu anayojiwekea mke,yanamfanya bwana awe na mapenzi na mke wake

Ati maji yanafanywa nini? Ndiyo maana sipendi kula kwa watu. That is beyond nasty. Just reading it I feel like I'm gonna puke.
 
Aliyenitonya ananisihi nimtonye jamaa yangu kuwa analishwa uchafu. tatizo kwangu ni kuwa nikifanza hivyo hiyo ndoa itasarambatika lakini pia sipendi aendelee kulishwa uchafu utakao ukeni kwa mke wake.

Hivi huo uke haupati infection yoyote?

Na anaweka nini huko ukeni? Vijipande vya nyama au?

Holy Mary mother of heaven! Some people man.....
 
mbona mama ntilie ndo zao bongo?

Nilishagaacha kula kwa mama ntilie miaka ya 90 huko. Na sasa itabidi nipunguze kula kwa watu maana hizi simulizi tunazozisikia kwa kweli ni inconceivable.

Mpaka sasa sijui hata nimeshalishwa madudu gani lol. But thankfully I'm still alive and free of any diseases that I'm aware of, but man....some people are nasty.

Wewe swahiba vipi....ni regular kwa mama ntilie?
 
No wonder na prefer chips
sababu zinakaangwa unaziona
ushirikina ulivyo wide spread Tz unaweza kukuta haya yapo hata kwenye restaurant unazoweza ziamini...
ni tatizo kubwa Tz...
haya vyakula vya kwenye misiba au harusi
watu hufanya sana haya mambo....
 
Ni kushukuru tu tuko wazima.

Lakini hivi vyakula vya halaiki ni tabu tupu

Nilishagaacha kula kwa mama ntilie miaka ya 90 huko. Na sasa itabidi nipunguze kula kwa watu maana hizi simulizi tunazozisikia kwa kweli ni inconceivable.

Mpaka sasa sijui hata nimeshalishwa madudu gani lol. But thankfully I'm still alive and free of any diseases that I'm aware of, but man....some people are nasty.

Wewe swahiba vipi....ni regular kwa mama ntilie?
 
ukame na kutokujiamini vyote vyaweza kuwa ni tatizo; kwa mtu mwenye imani za kishirikina ndumba kwake yaweza kuwa ndio mwisho wa tatizo lake bt kwamtu ambaye hana imani hiyo hatoweza kufanya huo ujinga.

Malavidavi hata zikiwepo kama hajiamini basi atatafuta pakuegemea na akikutana na kampani ya washirikina anakuwa teja wao!
 
No wonder na prefer chips
sababu zinakaangwa unaziona
ushirikina ulivyo wide spread Tz unaweza kukuta haya yapo hata kwenye restaurant unazoweza ziamini...
ni tatizo kubwa Tz...
haya vyakula vya kwenye misiba au harusi
watu hufanya sana haya mambo....

nasikia hata maji ya kuoshea maiti humwagiwa chakula eti kufukuza mizimu! Wengine wamekufa kwa magonjwa ambukizi waombelezaji bila ya kujijua hujikuta nao wakiingizwa wasikotaka aua hata kukujua!
 
Back
Top Bottom