Nguruvi3
Platinum Member
- Jun 21, 2010
- 16,313
- 33,808
wala usijiusumbue, ulipo koswa koswa ununio ndio ume saveNahisi MAMA NGINA ashaniwekea hiyo makitu aisee, mbona sifurukuti jamani......!!!!
Ngoja nifuatilie huu uzi huenda nikapata tiba hapa...
wala usijiusumbue, ulipo koswa koswa ununio ndio ume saveNahisi MAMA NGINA ashaniwekea hiyo makitu aisee, mbona sifurukuti jamani......!!!!
Ngoja nifuatilie huu uzi huenda nikapata tiba hapa...
La ajabu huyu mtu ni mama wa kanisani tena anapewa heshima kubwa kwa michango isiyo na ukomo. hata eneo la kumzika kanisani atakapokufa tayari limekwisha kutengwa...........................nasikia kichefuchefu kuongelea idol worshiping.
Taarifa nilizopewa ni kuwa chakula kinapokuwa kimeiva ndiyo hii kitu mama anakwenda msalani kuitoa khalafu anaikorogea chakula ambacho ndicho kinapakuliwa kwahiyo siyo wakati kinapikwa. Eti kikipikwa na chakula dawa haina nguvu. yaani mzee lazima alambishwe uchafu. Sina uhakika kama nayo ni chumvi! Hata kuongelea najisikia vibaya.
Utashauri wangapi?
ushirikina ni wide spread culture Tanzania
hata wewe yawezekana ulishalishwa uchafu tele ila hujui
unajua hata mama ntilie na wenye restaurant wanawalisha wateja uchafu huo huo ili wadhibiti soko?
go figure now