Mke anatambia ndumba za ukeni!

Mke anatambia ndumba za ukeni!

Nilishagaacha kula kwa mama ntilie miaka ya 90 huko. Na sasa itabidi nipunguze kula kwa watu maana hizi simulizi tunazozisikia kwa kweli ni inconceivable.

Mpaka sasa sijui hata nimeshalishwa madudu gani lol. But thankfully I'm still alive and free of any diseases that I'm aware of, but man....some people are nasty.

Wewe swahiba vipi....ni regular kwa mama ntilie?

"inconceivable" au "conceivable"? Kama ni "inconceivable" basi endelea na mama ntilie wako ujinome vinono vyao maana hakuna hizi shari!
 
mbona mama ntilie ndo zao bongo?

Kama wateja wake anawalisha mauchafu haya je mumewe imekaaje? Si ndiyo shimo la taka kabisa?
 
Hivi huo uke haupati infection yoyote?

Na anaweka nini huko ukeni? Vijipande vya nyama au?

Holy Mary mother of heaven! Some people man.....

Wenye mazoea ya kuweka vyakula ukeni ikiwa ni pamoja na hata ile kulamba "chumvi" kwa muda mrefu husababisha masalio ya chakula kubaki ukeni. Na hii ni moja ya sababu ya magonjwa kama ya fungi. algae na mengineyo ambayo huhitaji chakula kuneemeka. Uwezekano wa magonjwa haswa ya ngozi ni mkubwa na uke kuanza kutoa harafu mbaya. Na kama ni mshirikina basi atafikiri kalogwa kumbe kajiloga mwenyewe na kujiwekea vyakula ukeni na hivyo kuvuta vijimelea vinginevyo ambavyo navyo vinatafuta lishe ili viweze kuishi navyo.

Magonjwa tajwa huweza kuambukizwa kwa mpenzi wake na hivyo kuwainigza kwenye duru jingine la kujikuna. vipere, na kutoa harufu mbaya ukiachilia mbali gharama za tiba ambayo nayo yaweza kuchukua muda mrefu na kama wagonjwa hawaelewi chanzo chake yaweza kuwa sugu na kutotibika! It gets worse and worse.
 
Ati maji yanafanywa nini? Ndiyo maana sipendi kula kwa watu. That is beyond nasty. Just reading it I feel like I'm gonna puke.

Let us deal perpendicularly with this spirit of tradition that destroys our ability to move forward. Please puke, it may do you good!
 
Kwanini usijaribu kuongea na huyo mwanamke? Sidhani kama kuna mind control yoyote hapo, bit as you rightly point out ni uchafu wa kupindukia! Kama unaogopa kua chanzo cha ndoa kuvunjika basi mpe huyo mama ultimatum beyond which you will have to tell the guy.
 
Duh! Unaume kazi ukioa mwanamke Kama huyu lazima ile kwako. Ni kuomba mungu tu mwenzio usiwe wa aina hii
 
kaka zangu Tumwombe Mungu atuepushe na hizo fikira maana inavyoelekea mtaanza kukataa chakula kilichopikwa na wake zenu, au ndo mnataka kutunyang'angya madaraka ya kupika muanza kutupikia maana sasa hamtuamini.
 
Msiache kula kwa mama njazie tu, muache kuwa na small house na wake wengi pia. Imagine soup zenu zinawekwa Maji ya periods za wadada wangapi. Lol
Nicheke Kaunga miye...hahahahahah...
 
Kweli Africa tuna safari ndefu bado. Hivi tunajadili nini hapa? Elimu inatusaidia kweli au tunahesabu vidato na shahada tu? Hivi kuna scientific link gani kati ya nyama kuwekwa ukeni na kisha kuliwa na mume, na tabia za mume huyo kwa mkewe? Hivi kwa mlio na wake kama mimi, kumyonya mke wako uke ni ajabu? Hujui kuwa kama unampenda na kujua kuwa ni sehemu ya mwili wako mwenyewe utanyonya chochote kwenye mwili wake (amabo ni wako, kwa maana hiyo?) Sasa kama unanyonya uke tena freely kama ice scream, akiweka na nyama si ndoa inakuwa tamu zaidi maana hapo nitatafuna kabisa, sio kunyonya tu? Haina tofauti, vyote vinaihusu K tu. Na ukiona mtu anasemwa amelishwa limbwata eti amekuwa zuzu ni uongo hakuna kitu kama hicho ni story tu. wewe akiweka nyama kula tu kama ni mkeo hakuna kinacho halibika na kama ni mama lishe wewe kula na umwambie hukushiba akuongeze maana yeye anajua alilofanya, wewe hujui, wewe kazi yako kula ukanye kazi za ujenzi wa taifa. Ok, umekula "kinyama" kilikuwa ndani siku tatu, so what? mimi akili yangu iko stable mbaya, haibadilishwi na nyama ndugu yangu, leta mada nyingine!!!
 
Kwanini usijaribu kuongea na huyo mwanamke? Sidhani kama kuna mind control yoyote hapo, bit as you rightly point out ni uchafu wa kupindukia! Kama unaogopa kua chanzo cha ndoa kuvunjika basi mpe huyo mama ultimatum beyond which you will have to tell the guy.
Nop! sioni tatizo. Ninaona tofauti tu, kwamba samaki yule yule akiliwa mbichi it's ok, akikaangwa ni nongwa!

cc Gaijin
 
Utashauri wangapi?
ushirikina ni wide spread culture Tanzania
hata wewe yawezekana ulishalishwa uchafu tele ila hujui
unajua hata mama ntilie na wenye restaurant wanawalisha wateja uchafu huo huo ili wadhibiti soko?
go figure now
u r right bro...aiache tuu ndoa ya watu..
 
Jana jioni nimeipata hii: mke wa jirani ametonya rafiki yake wa karibu sana kuhusiana na siri ya kumtia kitanzini mumewe kuwa ni ndumba ambazo zimejaa kwenye kabati na ya kuwa kamwe hawezi kufurukuta.

Aliyenitonya ananisihi nimtonye jamaa yangu kuwa analishwa uchafu. tatizo kwangu ni kuwa nikifanza hivyo hiyo ndoa itasarambatika lakini pia sipendi aendelee kulishwa uchafu utakao ukeni kwa mke wake.

Yaani eti baadhi ya ndumba huwa mtuhumiwa huzifutika ukeni kwa siku tatu baada ya mumewe kumdu khalafu huzitoa na kumkaangia kuku wa kienyeji na biriani. Jamaa hula huku akisifia mapishi na chochote mkewe anachomwambia huitikia tu kama
"ana akili ndogo vile" na kudai hakuna mwenye busara kama mke wake!

Sina uhakika kama haya ni kweli maana sijawahi kuwafuatilia kujua kulikoni.

Nishaurini hapa

hata usijarib kila utakachomwambia jamaa lazima kifike kwa mkewe, hivyo ndo limbwata lilivyo ukithubutu tu hukawii kuonekana mmbea na mtaa mzima utajua we mmbea
 
Kweli Africa tuna safari ndefu bado. Hivi tunajadili nini hapa? Elimu inatusaidia kweli au tunahesabu vidato na shahada tu? Hivi kuna scientific link gani kati ya nyama kuwekwa ukeni na kisha kuliwa na mume, na tabia za mume huyo kwa mkewe? Hivi kwa mlio na wake kama mimi, kumyonya mke wako uke ni ajabu? Hujui kuwa kama unampenda na kujua kuwa ni sehemu ya mwili wako mwenyewe utanyonya chochote kwenye mwili wake (amabo ni wako, kwa maana hiyo?) Sasa kama unanyonya uke tena freely kama ice scream, akiweka na nyama si ndoa inakuwa tamu zaidi maana hapo nitatafuna kabisa, sio kunyonya tu? Haina tofauti, vyote vinaihusu K tu. Na ukiona mtu anasemwa amelishwa limbwata eti amekuwa zuzu ni uongo hakuna kitu kama hicho ni story tu. wewe akiweka nyama kula tu kama ni mkeo hakuna kinacho halibika na kama ni mama lishe wewe kula na umwambie hukushiba akuongeze maana yeye anajua alilofanya, wewe hujui, wewe kazi yako kula ukanye kazi za ujenzi wa taifa. Ok, umekula "kinyama" kilikuwa ndani siku tatu, so what? mimi akili yangu iko stable mbaya, haibadilishwi na nyama ndugu yangu, leta mada nyingine!!!

nataman upate mwanamke kutoka ukerewe wewe siku sio nying utajua kama akili yako ni stable kama unavyofikiri
 
Nop! sioni tatizo. Ninaona tofauti tu, kwamba samaki yule yule akiliwa mbichi it's ok, akikaangwa ni nongwa!

cc Gaijin

Watu wale sushi, Ikisha samaki huyo huyo wakipikiwa chukuchuku iwe mwao!
 
Mnisamehe hii ni nje ya topic...je nikitaka kurusha thread humu nafanyaje?
 
Hii nilisikia zamani kiasi kuwa wanachukua ki-dagaa wanakichungulisha mule ndani halafu wanakukaangia pamoja na dagaa wengine.
Hii ni kabla ya Wabongo hawajaanza mambo ya kwenda chumvini, nadhani siku hizi hawana haja ya kutumia hizi dawa.

Hv mtu akienda chumvini anatakiwa ameze au ateme?
 
dawa hizi zinaitwa 'mugorole' au mnyooshe<br>umenikumbusha kisa kimoja, kipindi hicho naishi kwetu RUBALE,&nbsp; wakina mama wengi walikua wanawawekea waume zao dawa inaitwa MUGOROLE, Dawa hii inatokana na maji ya kuoshea maiti, sasa siku moja mtoto wa darasa la sita alizama kwenye dimbwi akapoteza maisha, wale wamama walichota maji yote kwenye dimbwi hilo halilozama kijana.. LIKAKAUKA LOTE.. [sijui kama iliwasaidia]<br>mambo hayo yapo sana tena mwanaume anakua mburula na mnyenyekevu kupita kiasi, tena ukimwambia anaenda kusema kwa mkewake jinsi unavyo wachonganisha, sasa jipange kutukanwa na mkewake kwasababu zitamfikia tu.
 
Back
Top Bottom