Hv mtu akienda chumvini anatakiwa ameze au ateme?
hapo lazima wameze ingekuwa wanatema si wangekaukiwa mate? Lol!
Hv mtu akienda chumvini anatakiwa ameze au ateme?
Nashangaa G! mi naona ni suala la pronunciation tu (Tomato na Tometo).Watu wale sushi, Ikisha samaki huyo huyo wakipikiwa chukuchuku iwe mwao!
Hv mtu akienda chumvini anatakiwa ameze au ateme?
Jana jioni nimeipata hii: mke wa jirani ametonya rafiki yake wa karibu sana kuhusiana na siri ya kumtia kitanzini mumewe kuwa ni ndumba ambazo zimejaa kwenye kabati na ya kuwa kamwe hawezi kufurukuta.
Aliyenitonya ananisihi nimtonye jamaa yangu kuwa analishwa uchafu. tatizo kwangu ni kuwa nikifanza hivyo hiyo ndoa itasarambatika lakini pia sipendi aendelee kulishwa uchafu utakao ukeni kwa mke wake.
Yaani eti baadhi ya ndumba huwa mtuhumiwa huzifutika ukeni kwa siku tatu baada ya mumewe kumdu khalafu huzitoa na kumkaangia kuku wa kienyeji na biriani. Jamaa hula huku akisifia mapishi na chochote mkewe anachomwambia huitikia tu kama "ana akili ndogo vile" na kudai hakuna mwenye busara kama mke wake!
Sina uhakika kama haya ni kweli maana sijawahi kuwafuatilia kujua kulikoni.
Nishaurini hapa
hata usijarib kila utakachomwambia jamaa lazima kifike kwa mkewe, hivyo ndo limbwata lilivyo ukithubutu tu hukawii kuonekana mmbea na mtaa mzima utajua we mmbea
Na bado kwa akili kama hizi mtauza kila kitu kwa Wachina, mpaka shahaw.a maanake ndio kitu pekee kilichobakia chetu, na sijui kama watazikubali kwa maana zina mavirusi!
Nahisi MAMA NGINA ashaniwekea hiyo makitu aisee, mbona sifurukuti jamani......!!!!
Ngoja nifuatilie huu uzi huenda nikapata tiba hapa...
Jana jioni nimeipata hii: mke wa jirani ametonya rafiki yake wa karibu sana kuhusiana na siri ya kumtia kitanzini mumewe kuwa ni ndumba ambazo zimejaa kwenye kabati na ya kuwa kamwe hawezi kufurukuta.
Aliyenitonya ananisihi nimtonye jamaa yangu kuwa analishwa uchafu. tatizo kwangu ni kuwa nikifanza hivyo hiyo ndoa itasarambatika lakini pia sipendi aendelee kulishwa uchafu utakao ukeni kwa mke wake.
Yaani eti baadhi ya ndumba huwa mtuhumiwa huzifutika ukeni kwa siku tatu baada ya mumewe kumdu khalafu huzitoa na kumkaangia kuku wa kienyeji na biriani. Jamaa hula huku akisifia mapishi na chochote mkewe anachomwambia huitikia tu kama "ana akili ndogo vile" na kudai hakuna mwenye busara kama mke wake!
Sina uhakika kama haya ni kweli maana sijawahi kuwafuatilia kujua kulikoni.
Nishaurini hapa
Mkuu huna namna yoyote ya kuthibitisha hii kauli ya "Mke wa jirani" kama ina ukweli wowote. Hivyo ni bora kucheza mbali na ndoa ya watu badala ya kutaka kuingiza maneno ambayo yanaweza kabisa kusambaratisha ndoa ya jamaa yako na mkewe. Ni ushauri tu Mkuu Rutashubanyuma.
It feels good, kama utakaa kwa amani na kujisikia raha kwamba umependwa naturaly,hiyo tu yatosha
hehehe ,anapewa limbwata? ,h ,ila sometime binaadamu tu sisi na fitna zetu ,pengine mapenz tu na mwadada anajua kupika wao wanahisi anapewa limbwata
uzuri wa dawa huwa zina expire