Mke anasababisha kuchepuka kwa Mume

Mke anasababisha kuchepuka kwa Mume

Mtu upo nae faragha anaanza kukwambia marejesho ya mkopo,mara sijui vikoba mara ana mchezo anacheza sijui unamfanyaje

Cc Hajar hivi umepita hapa?? Nione comment yako
Hahahaaaaa. Jiraaani. Kikawaida wanaume hamna jema bana hata akiweka mawazo hapo faraghani mwisho wa siku utakwenda tu Jirani kutafuta mchepuko.

Sikuwa hewani aiseee jirani. Si wajua Weekend tena mambo yanakuwa mengi mengi.
 
Imejengeka kisaikolojia kuwa mwanamke ndio wa kumstarehesha mumewe..... Mwanamume amesahau kabisa kuwa na mwanamke pia anatakiwa kustarehe.

Dunia inakwenda kasi ya ajabu. Hivi mwanamke anapokuwa anafurahia tendo la Ndoa na anamfurahia mumewe.... Anaanzaje kusema amechoka, kichwa, tumbo linauma kila siku.... 😂
Kufurahia kwa visirani hio mood ya kumuanda inatoka wapi!
 
Mara leo sijiskii, kesho nimechoka, kesho kutwa tumba linauma. Kweli tutaacha kuchepuka? Hakika mwanamke akikutana na mme wake kwa wiki kama mara nne. Si rahisi kwa Mume kuchepuka hovyo.
Mmh. Hapo kwenye red unajisemea wewe Mkuu au na wanaume wenzio wale wazee wa NECHA. Hahahaaaa.

Samboko, sumbai jirani , 4G LTE na wengine wengi mnaoisingiziaga Necha hili la mleta uzi ni kweli?
 
Ndio inavyokuaga, kuna njemb imefumania juzi kati. Demu kaingiza mwamba ndani wakati jamaa hayupo!
Akili zao wanazijua wenyewe kaka. Akija kwako analeta vijisababu vya upuuzi then unamuonea huruma labda ni kweli. Kumbe kuna njemba inaipiga hiyo biology bila huruma hadi wife anakuwa hana hamu na mume
 
Jamaa na mpenzi wake wamepamga room na sebule.Mwanamke alimpanga jamaa kuwa kuna dada yake anapita mkoa kumuona na atalala kwa usiku mmoja kesho yake aendelee na safari yake.

Jamaa kwa heshima akasema freshi akaamua ampe nafasi akaenda kwenye mishe zake ikiwa yeye atajua pa kulala usiku ukifika. Ila kadiri muda ulivyokwenda akaingiwa na maseke, mawasiliano yaliyumba...Alitegemea kupata feedback juu ya mgeni ila mpenzi wake akawa kimya hadi kufikia mida ya saa 10 jioni jamaa kumpigia simu mwanamke vipi huyo mgeni kafika salama? Mwanamke akapokea na kudai yupo busy kidogo boss yupo around wana kikao atapiga meeting ikiisha.

Mpaka kufikia saa 2 usiku mwanamke yupo kimya hakupiga simu wala nini. Jamaa kumpigia simu akawa hapokei, ikabidi kumtumia sms. Mwanamke ndio kujibu kuwa alifika salama na wapo wote. Kujaribu kupiga tena mwanamke akawa hapokei simu, akamtext tena mko wapi kwahio, mwanamke akajibu kuwa wapo mjini bado hawajarudi nyumbani kuna vitu wanaangalia ila soon watarudi. Akili ikazidi kumcheza jamaa. Inawezekanaje mgeni aliesafiri zaidi ya masaa 8 awe na nguvu za kuzurura mjini na hasa ni dada mtu mzima?

Ndipo jamaa alipoamua kuingia deep zaidi kifikra, akaamua afatilie kwa siri ujio wa mgeni pale nyumbani. Alienda maeneo ya nyumbani kimya kimya akajitega gizani usawa ambao ataona movement ya mgeni kuingia ndani. Kilichofata ni kweli mwanamke alirudi akaingia ila hakuambatana na mgeni kama alivyodai. Aliingia ndani akatua vitu kisha akaenda nje kwa dakika kadhaa kisha akarudi ndani.

Jamaa alimpigia simu mwanamke kwa utulivu wote akamueleza alipoamua kupumzikia kwa usiku huo kisha akamhoji kama ameshafika home, mwanamke akadai ndio, kuhusu siku yake ilivyokwenda na kuhusu mgeni akadai wote wako freshi. Mwanamke aliongea kwa shauku ilia kumpoteuza maboya jamaa kisha aliaga akakata simu akidai anamwandalia maji na chakula dada yake ambapo aliahidi atapiga simu baada ya muda kidogo. Jamaa akakata simu ikiwa amenote kitu tayari hakukuwa na huyo mgeni aliesemekana yupo, hakusit kuendelea ku observe movement.

Baada ya dakika 10 pikipiki iliwasili nje ya geti. Mwanamke akatoka na kumuendea jamaa aliyekuja na pikipiki wakaongea kidogo kisha akaingia naye ndani ya geti akiwa anamkokota na kumfungulia mlango wa nyumba akamuingiza ndani kisha kumbebea viatu vyake na kuviingiza ndani kisha akafunga mlango.

Jamaa akiwa katika angle of elevation alishuhudia mchezo wote na haikuchukua dakika 15 jamaa akauendea mlango wake na kisha kugonga, mwanamke alifungua hakuamini alichoona,,,ilikuwa ni jamaa yake ndio akawa ameshamfumania.

Mwanamke alikosa amani ghafla na kauli ilikata kabisa hakuweza ongea lolote, akahisi kama jamaa atamuua labda, kuingia chumbani akamkuta mwamba alieingia na pikipiki yupo kitandani kajiachia na helmet kashalivua liko pembeni akisubiria maji ya kuoga ajipakulie mbususu ya mwanamke wa watu.

Wajua kilichofuata ilikuwa nini?
 
Duh noma sana. Unachapiwa ndani ya ghetto lako. Nini kilijili mzee?
 
Enhee!!! Nini kikafuata
 
Mzee baba acha tu, hawa kumma hawafadhiliki, jamaa aliefumania ni mwanangu wa karibu sana tuna hustle pamoja kimaisha na shemela namjua, sijawahi kudhania kama ana michezo myeusi namna hio!
 
Enhee!!! Nini kikafuata
Mambo ilikuwa ni bad news mzee!

Inasemekana jamaa alichezea subwoofer ya utosini ilipotua chini ilikuwa vipande vipande. Kisha aliamuriwa atoke chap kwa haraka akisindikizwa na maigel ziba nnya Shughuli ikabaki kwa bibie sasa, ni siku ya tatu mwanamke hajulikani alipo na hakuguswa kabisa. Aliondoka kama alivyo.
 
Mzee baba acha tu, hawa kumma hawafadhiliki, jamaa aliefumania ni mwanangu wa karibu sana tuna hustle pamoja kimaisha na shemela namjua, sijawahi kudhania kama ana michezo myeusi namna hio!
Ebana eee! Ndio maana sijawahi kukaa nikamwamini demu hata siku moja. Huwa nakuwa nao kimachale sana kwamba any day kinaweza sanuka. Na ukiona demu anakwambia flani kanitongoza tambua kuwa hajamtaka. Lakini kwa yule amtakaye haji kukuchana kabisa.
 
Mambo ilikuwa ni bad news mzee!

Inasemekana jamaa alichezea subwoofer ya utosini ilipotua chini ilikuwa vipande vipande. Kisha aliamuriwa atoke chap kwa haraka akisindikizwa na maigel ziba nnya Shughuli ikabaki kwa bibie sasa, ni siku ya tatu mwanamke hajulikani alipo na hakuguswa kabisa. Aliondoka kama alivyo.
Duh msela mvumilivu sana. So demu alijipa hukumu mwenyewe.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom