Mke anasababisha kuchepuka kwa Mume

Mke anasababisha kuchepuka kwa Mume

Mtu upo nae faragha anaanza kukwambia marejesho ya mkopo,mara sijui vikoba mara ana mchezo anacheza sijui unamfanyaje

Cc Hajar hivi umepita hapa?? Nione comment yako
 
Kesho kutwa tumba linauma, haya bhana
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Nakwambia mimi ni mwanamke..... Nikuulize kitu..... Mkeo unamuandaa kisaikolojia na kimatendo? Au unafanya kumvamia dakika 5 - 7 umemaliza ..... unakoroma?

Haki....Kama ni kwa dizaini hii tumbo haliwezi kuacha kuuma kila siku maana unachofanya hapo ni kumchafua pekee. Anachoka. Anajiona uvivu tuu.
Nimependa mchango wako ila nna swali dogo la nyongeza.Kama kuna ambalo hajapenda si amwambie nijibadilishe?Kama mwanaume anaona yupo sahihi na bibie hasemi kama haridhiki na badala yake anasema kichwa/tumbo linamuuma huyu mwanaume uvumilivu utamshinda tuu na kama hana hofu ya Mungu ataangalia pembeni.

Sitetei kucheat ila pale mmojawapo anapoona haridhishwi au mwenzie hafanyi sahihi, ni vizuri akawa muwazi.Mawasiliano ni muhimu sana kwenye gurudumu la mapenzi/ndoa.
 
Back
Top Bottom