Mke anasababisha kuchepuka kwa Mume

Mke anasababisha kuchepuka kwa Mume

Imejengeka kisaikolojia kuwa mwanamke ndio wa kumstarehesha mumewe..... Mwanamume amesahau kabisa kuwa na mwanamke pia anatakiwa kustarehe.

Dunia inakwenda kasi ya ajabu. Hivi mwanamke anapokuwa anafurahia tendo la Ndoa na anamfurahia mumewe.... Anaanzaje kusema amechoka, kichwa, tumbo linauma kila siku....
Ni kweli lakini,kwasababu sisi tuna sexual drive kubwa,ndo maana wewe kwenu mama ako alikufundisha jinsi ya kumridhisha mme wako,mimi sijwahi kusikia mwanamme hana hamu ya kufanya mapenzi,labda kama sio mzima,nyinyi mmeumbwa kutustarehesha sisi
 
Nakwambia mimi ni mwanamke..... Nikuulize kitu..... Mkeo unamuandaa kisaikolojia na kimatendo? Au unafanya kumvamia dakika 5 - 7 umemaliza ..... unakoroma?

Haki....Kama ni kwa dizaini hii tumbo haliwezi kuacha kuuma kila siku maana unachofanya hapo ni kumchafua pekee. Anachoka. Anajiona uvivu tuu.
Sasa dakikia 5 huyo mwanaume wako ana matatizo
 
Ni kweli lakini,kwasababu sisi tuna sexual drive kubwa,ndo maana wewe kwenu mama ako alikufundisha jinsi ya kumridhisha mme wako,mimi sijwahi kusikia mwanamme hana hamu ya kufanya mapenzi,labda kama sio mzima,nyinyi mmeumbwa kutustarehesha sisi
Yap! Kweli ndugu.
 
Ku
Imejengeka kisaikolojia kuwa mwanamke ndio wa kumstarehesha mumewe..... Mwanamume amesahau kabisa kuwa na mwanamke pia anatakiwa kustarehe.

Dunia inakwenda kasi ya ajabu. Hivi mwanamke anapokuwa anafurahia tendo la Ndoa na anamfurahia mumewe.... Anaanzaje kusema amechoka, kichwa, tumbo linauma kila siku.... 😂
Kuna wanawake visilani, hawataki hata kuguswa wala kuongelea kuhusu sex kwani anakazana kusema nimexhoka au hajiskii, ili umwandae. Sasa hapo utafanyaje.
 
Mwanaume kutokuwa na mchepuko ni sawa na nchi isiyo na chama cha upinzani.
 
Mlishahalalisha hakuna mwanaume mwenye mke mmoja. Mchepuko lazima kwa hiyo hata umpe kila dakika haisaidi kilichopo tendo lifanyike wapendavyo
Sio kweli. Mfano let say mke anakupa leo, kesho anapumzka kesho kutwa ana anakupa, kwa muendelezo huo kwangu mie siwez kuchepuka kamwe kwani nakuwa sina hamu na muda kuhusu cha nje. Hiyo n kwa upande wangu mm
 
Ukiona huwezi kumpa mwenzio kilichowaunganisha USIOLEWE/USIOE. Mara chache inaeleweka utachoka, utaugua n.k
 
Sio kweli. Mfano let say mke anakupa leo, kesho anapumzka kesho kutwa ana anakupa, kwa muendelezo huo kwangu mie siwez kuchepuka kamwe kwani nakuwa sina hamu na muda kuhusu cha nje. Hiyo n kwa upande wangu mm
Hongera wapo wengine wenye msemo bila mchepuko mwanaume hajakamilika
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom