Mke anasababisha kuchepuka kwa Mume

Mke anasababisha kuchepuka kwa Mume

Mara leo sijiskii, kesho nimechoka, kesho kutwa tumba linauma. Kweli tutaacha kuchepuka? Hakika mwanamke akikutana na mme wake kwa wiki kama mara nne. Si rahisi kwa Mume kuchepuka hovyo.
Mi kutokana na kuishi kwingi kuona mengi, nilishakuwa na conclusion yangu, hakuna mwanamke asiyehitaji ndoa, ila wengi wao hawawezi kuzihudumia
 
Imejengeka kisaikolojia kuwa mwanamke ndio wa kumstarehesha mumewe..... Mwanamume amesahau kabisa kuwa na mwanamke pia anatakiwa kustarehe.

Dunia inakwenda kasi ya ajabu. Hivi mwanamke anapokuwa anafurahia tendo la Ndoa na anamfurahia mumewe.... Anaanzaje kusema amechoka, kichwa, tumbo linauma kila siku.... [emoji23]
Huu uzi una nadharia nyingi sana, ngoja nibaki na conclusion yangu tu
 
Mmh. Hapo kwenye red unajisemea wewe Mkuu au na wanaume wenzio wale wazee wa NECHA. Hahahaaaa.

Samboko, sumbai jirani , 4G LTE na wengine wengi mnaoisingiziaga Necha hili la mleta uzi ni kweli?
Hilo ni gumu saana. Unaweza kula ukashiba paka ukasaza. Ukisikia harufu kwa jirani ya pilau lazima ufate.

Jirani nivigumu kwenda kinyume na necha
 
Hahahaaaaa. Jiraaani. Kikawaida wanaume hamna jema bana hata akiweka mawazo hapo faraghani mwisho wa siku utakwenda tu Jirani kutafuta mchepuko.

Sikuwa hewani aiseee jirani. Si wajua Weekend tena mambo yanakuwa mengi mengi.
Okay jirani.

Habar za weekend...
 
Mambo ilikuwa ni bad news mzee!

Inasemekana jamaa alichezea subwoofer ya utosini ilipotua chini ilikuwa vipande vipande. Kisha aliamuriwa atoke chap kwa haraka akisindikizwa na maigel ziba nnya Shughuli ikabaki kwa bibie sasa, ni siku ya tatu mwanamke hajulikani alipo na hakuguswa kabisa. Aliondoka kama alivyo.
So sad
 
Mara leo sijiskii, kesho nimechoka, kesho kutwa tumba linauma. Kweli tutaacha kuchepuka? Hakika mwanamke akikutana na mme wake kwa wiki kama mara nne. Si rahisi kwa Mume kuchepuka hovyo.
sema sisi hatusomeki sometimes utapewa kila siku katika wiki ila ukiona MZIGO unatembea vitu vina vibrate ngozi saafi utataka ubadili tu falvour...aisee SISI NI SISI WENGINE MAFISI..YANI WANAUME SISI NI WANAUME TU WENGINE WATAKUWA SIO WANAUME SAS
 
Back
Top Bottom