Mke anamnyima mumewe tendo la ndoa, nini kifanyike?

Mke anamnyima mumewe tendo la ndoa, nini kifanyike?

Haujaletewa mashitaka, bali matendo hayo unafanyiwa wewe.

Kwa sababu ishu ingelikuwa ni ya mjukuu kweli, wangelikuita ama wangeletena kwako ili washitakiane uwasuluhishe, lakini hauwezi kusikiliza upande mmoja ukaja na conclution.

Ninakushauri uzee wako upeleke kwa hawara utaenjoy, wanawake mitaani wamejaa wanatafuta support na upendo.

Utatuzwa na kuthaminiwa kuliko unavyothaminiwa na mke.

Na hawara ukimueleza ukweli kuwa una mke, atakutreat kutokana na urefu wa kamba yako.

Huyo mwanamke majinuni mwache awe mlishi wa familia na watoto wako.

Hakuna haja ya ugomvi wa kupigania haki ya ndoa kwenye ndoa yenye umri huo, kwani hata akikunyima ukamlazimisha hakuna jipya utakaloligundua kwake,sana sana ni miguno ya hadaa isiyokuwa na starehe yoyote.
 
Back
Top Bottom