mathew.paul58
Member
- Jul 25, 2009
- 19
- 5
Kama jamaa hakusomi please let it go wasije kuku geuka ukabaki na aibu japo dhamira yako ni njema,
Masharti ya Uganga hayo.
Sasa hivi ndoa zina shida nyingi sana.
Ushauri wako kama nguvu za giza. Ushindwe na ulegeee.Kama anafahamu kinachoendelea halafu hana noma na wewe kula, bora ufaidi wewe best kuliko hao wajamaa wa mtaani, kula huyo shemu mwanangu.Ningekuwa mimi ningemla.
Ingekuwa wewe ungefanyaje?, mimi ningemsaidia rafiki yangu kumpa pumbulisation ya kumridhisha shemeji.Ushauri wako kama nguvu za giza. Ushindwe na ulegeee.
Kuna mambo haya
1. Inawezekana mkewe analipiza kisasi kwa sababu alishamfumania na mtu nje
2. Haridhiki na mtu mmoja
3. Ni umalaya ambao aliuficha kabla hajaolewa ila alipoolewa ukafumuka
Hebu Jaribu kumuuliza vizur jamaa kama alishafanya hilo la kwanza
wadau hop mko poa,
naomba nielimishwe jamani kama kuna maisha ya aina hii au ni kiini macho ndo naona.kuna jamaa yangu ambaye ni swahiba wangu tangu kitambo sana ameoa na ana watoto 3.kinachonishangaza ni tabia ya mke wake,yaani amekuwa akigawa uroda hovyo,si kwa watoto anaowazidi umri wala kwa wakubwa.yaani kwa ufupi naweza kusema nanii yake iko mkononi,ukiipiga tu inaanguka unaondoka nayo.kitu kinachoniacha hoi ni huyu swahiba wangu,yaani japokuwa anajua fika kuwa mke wake anafanya uchafu huo yeye kapiga kimya.yaani haongei hata kidogo,yupo kama vile hamna kinachoendelea.
kuna wakati alisafiri nje ya nchi kwa wiki mbili akaniachia familia yake niiangalie,so nikawa naenda kuicheki,kuna siku niko siting room namsubir shemeji yangu huyo atoke tusalimiane mara kinatoka kidume kimoja hivi kimejifunga kanga yake,nikamsalimia kama kawaida kisha shemeji yangu akaja tukasalimiana nikasepa.siku nyingine niko sehem napata soda,shem wangu huyo kanipita tena na kijamaa kimoja hivi,tena bila aibu akanisalimia halafu haooo wakazama kwa chumba.
yaani mwanamke anafanya kama vile sio mke wa mtu eti.jamaa aliporudi nilimueleza ukweli kuhusu wyf wake but mshikaji kabaki kucheka cheka na maisha yakaendelea kama kawaida.kwa sasa hali ni mbaya mno lakini jamaa kama vile kipofu flani hivi.kuna kipindi nilifikia hatua ya kumuuliza kama amepoteza nguvu zake ili nimshauri akaonane na wataalam wamsaidie but jamaa anasema yuko poa.sasa kwanini asimkemee mkewe?hana jibu.
imefikia hatua hata vichalii vinavyojifunza kuduu hapa mtaani vinamzoa kiholela holela tu,yaani hata watoto wake hasa aliye std 7 mwaka huu hana raha kabisa,yaani mtoto mdogo but anafeel aibu kwa anayoyafanya mama yake.nashindwa kujua tatizo liko wapi ili niweze kumsaidia swahiba wangu coz cjui tatizo ni yeye au ni mke?
NINA FEEL VIBAYA NA NINGEPENDA KUONA AIBU HII INAONDOKA KWA RAFIKI YANGU LAKINI CJUI NIANZIE WAPI.
Labda unamgegeda shemeji yako na umeona ka-wivu kwa nini wewe ulikuwa na ahadi naye and all the sudden unakutana na kajamaa kametoka kula...kuna wakati alisafiri nje ya nchi kwa wiki mbili akaniachia familia yake niiangalie,so nikawa naenda kuicheki,kuna siku niko siting room namsubir shemeji yangu huyo atoke tusalimiane mara kinatoka kidume kimoja hivi kimejifunga kanga yake,nikamsalimia kama kawaida kisha shemeji yangu akaja tukasalimiana nikasepa.siku nyingine niko sehem napata soda,shem wangu huyo kanipita tena na kijamaa kimoja hivi,tena bila aibu akanisalimia halafu haooo wakazama kwa chumba.
Inaonekana na wewe umeshamla huyo shemaji yako; umepigwa kibuti sasa unaanza kelele mtaani! Eti uliachiwa familia uwe unaenda kuicheki, sasa mbona ulipoona kidume pale sitingi rumu na pale ulipokuwa unapata soda hukuonyesha kama wewe ndie uliyeachiwa dhamana? ilibidi uonyeshe uwepo na umuhimu wako pale. Hii inaonekana ulikula sasa wanakula wengine kinakuuma. Na huyo jamaa yako usimuone mjinga, yuko kimyaa anawajua wezi wake wote, ole wenu.