KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 19,771
- 39,538
Oblangata yangu inanituma kuwa huyo swahiba lazima atakuwa ameumia au ameathirika yeye na wife wake so watu dizaini hiyo wanakuwa hawana cha kupoteza ndio maana mke anaamua kuusambaza kwa makusudi na jamaa haonyeshi kujali. Katika hali ya kawaida mtu hawezi kuwa anafahamu usaliti wa hawara achilia mbali mke halafu akauchuna tu...