Nakubaliana nawe 100% , hapa mtaani kwetu wapo wanandoa waathirika, huwa mke ikifika jioni anamuaga mumewe anatoka anaelekea ofisini kusaka wa chap chap pale Chilakale
Nakubaliana na wewe kwa hili mia kwa miaWake wa kuokotze kwenye send-off ndio tatizo lake...
Sasa bora kipi?, aliwe na majamaa ya mtaani au ule wewe rafiki wa karibu, inwezekana shemeji hapati mti wa kutosha, saidia, mpe mti wa uhakika.dah! Aiseee! kuna watu mmepinda hadi brain?
Duunh labda dada ni double action na jamaa ni single action sasa hapo incompatibility mode ndo issue!!!!
Kama anafahamu kinachoendelea halafu hana noma na wewe kula, bora ufaidi wewe best kuliko hao wajamaa wa mtaani, kula huyo shemu mwanangu.Ningekuwa mimi ningemla.
Umeona eeeeh!!bonge la ushauri bhana?
Kama anafahamu kinachoendelea halafu hana noma na wewe kula, bora ufaidi wewe best kuliko hao wajamaa wa mtaani, kula huyo shemu mwanangu.Ningekuwa mimi ningemla.
Kupunguza tatizo, siamini kama anafuata pesa kwani inavyoonyesha jamaa sio kapuku kihivyo, anafuata mshedede wa ukweli.mkuu huu tuuite ushauri wa kupunguza au kuongeza tatizo?