Mke anagawa ovyo...jamaa kaamua

Mke anagawa ovyo...jamaa kaamua

ladylady,mshikaji kanizidi umri kama miaka 12 hivi but kuna kipindi cha ujana tulikuwa wote,tulikuwa tukipiga misele,tunaopoa kama kawaida,ilikuwa inafika kipindi tunapokezana hata chumba...ataanza yeye na dem wake then nitaingia mimi na wangu,wakati mwingine naanza mimi afu yeye atafuata baadae,siwezi kusema kwa asilimia 100 kwamba namjua vizur but nivigumu kuamini kuwa mzee hafanyi kazi,.ina maana wakati huo alikuwa akifanyaje?

BAC NGUVU ZIMEMWISHIA MAANA ALIFANYA SANA KIPINDI HICHO. MWAMBIE ALE PWEZA WAKUTOSHA :smile-big:
 
Jamaa ako si rizki, ukichunguza hata hao watoto sio wake/
 
mkuu kwanza pole sana kwa kushuhudia hayo
USHAUR
Me nadhani Papuchi ya shemej yako ni CLASS C, so na dushelele ya jamaa yako ni lesen ya bajaj
Kama nilivyosoma comment yako moja hapo juu ulisema kuna wakat kiwa vijana wewe na jamaa yako mlikua na tabia ya kupasiana mipira iliyokufa..
sasa nakushaur mtafute jamaa yako then wote kwa pamoja mpige KOLABO kama enzi zile ili muende na kasi ya MCHEZO.
THE INCOGNITO...
 
hatukuwahi kupigiana pasi kama unavyofikiri,ila tulikuwa tukipokezana chumba,manake kuna wakati tulikuwa hatuna hela,mnakuwa na vijishilingi vya kuchukua chumba kimoja tu,so ataanza yeye au mimi na mtu wangu,kisha atafuata yeye au mimi na mtu wangu.hatukuwahi kushea papuchi hata kidogo
 
Kama Jasiri, this one will work, ni ufirauni lakini hii dunia nayo ni ya mafirauni tu, Si ni rafiki yako? Mat futile demu, na huyo dem mpe assignment ya Kupima Kama jamaa anaweza kula mzigo, then mtafune huyo shemeji yako baada ya Mungu aw kwanza I mean half time Anza kumdodosa atakwambia what's wrong au unakuwa umeshagundua. Analia usinogewe na baada ya hapo unajua ufanyeje, bora ule wewe kuliko kila mtu amrukie. Teh teh, ila akili za kuambiwa changanya na zako, Kama vp achana nao
 
I meant mzungu sio mungu, IPad inadictate lugha kiulazima.
 
Wanawake huwa wanatukomesha wanaume kwa kutumia miili yao..... Inawezekana mama analipa kisasi kwa jamaa, si unajuwa mla mbuzi hulipa ng'ombe...
 
Unaweza kuta washajiathirikia kitambo na sasa mke anachokifanya nikuusambaza tu .
 
wadau hop mko poa,
naomba nielimishwe jamani kama kuna maisha ya aina hii au ni kiini macho ndo naona.kuna jamaa yangu ambaye ni swahiba wangu tangu kitambo sana ameoa na ana watoto 3.kinachonishangaza ni tabia ya mke wake,yaani amekuwa akigawa uroda hovyo,si kwa watoto anaowazidi umri wala kwa wakubwa.yaani kwa ufupi naweza kusema nanii yake iko mkononi,ukiipiga tu inaanguka unaondoka nayo.kitu kinachoniacha hoi ni huyu swahiba wangu,yaani japokuwa anajua fika kuwa mke wake anafanya uchafu huo yeye kapiga kimya.yaani haongei hata kidogo,yupo kama vile hamna kinachoendelea.kuna wakati alisafiri nje ya nchi kwa wiki mbili akaniachia familia yake niiangalie,so nikawa naenda kuicheki,kuna siku niko siting room namsubir shemeji yangu huyo atoke tusalimiane mara kinatoka kidume kimoja hivi kimejifunga kanga yake,nikamsalimia kama kawaida kisha shemeji yangu akaja tukasalimiana nikasepa.siku nyingine niko sehem napata soda,shem wangu huyo kanipita tena na kijamaa kimoja hivi,tena bila aibu akanisalimia halafu haooo wakazama kwa chumba.yaani mwanamke anafanya kama vile sio mke wa mtu eti.jamaa aliporudi nilimueleza ukweli kuhusu wyf wake but mshikaji kabaki kucheka cheka na maisha yakaendelea kama kawaida.kwa sasa hali ni mbaya mno lakini jamaa kama vile kipofu flani hivi.kuna kipindi nilifikia hatua ya kumuuliza kama amepoteza nguvu zake ili nimshauri akaonane na wataalam wamsaidie but jamaa anasema yuko poa.sasa kwanini asimkemee mkewe?hana jibu.imefikia hatua hata vichalii vinavyojifunza kuduu hapa mtaani vinamzoa kiholela holela tu,yaani hata watoto wake hasa aliye std 7 mwaka huu hana raha kabisa,yaani mtoto mdogo but anafeel aibu kwa anayoyafanya mama yake.nashindwa kujua tatizo liko wapi ili niweze kumsaidia swahiba wangu coz cjui tatizo ni yeye au ni mke?
NINA FEEL VIBAYA NA NINGEPENDA KUONA AIBU HII INAONDOKA KWA RAFIKI YANGU LAKINI CJUI NIANZIE WAPI.

1. Jamaa inawezekana ameishiwa nguvu
2. Anaweza akawa alimwambukiza mkewe ukimwi na sasa ni mwendo wa kulipiza kisasi kwa kutoka na wengine
3. Wanaishi pamoja ila walishatengana cku nyingi tu katika unyumba.
4. Kama sababu zilizotangulia c za kweli, basi jamaa atakuwa amefanyiwa mambo ya kishirikina (mfano limbwata)

Either way, fanya uchunguzi yakinifu umsaidie rafiki yako. Namuunga mkono aliyesema uongee na shemejio
 
Sijaona mahali umesema uliwahi ongea na huyo bibie kumuuliza kulikoni, kama kweli unampenda rafiki yako na familia yake, jaribu kuongea na huyo mama upate na upande wa pili. pia shirikisha ndugu wa huyo rafiki yako, napo huenda itasaidia.

Kama kweli kwa nini asimxuulize muke kama kuna kitu kinachomfanya awe hivyo?
 
Back
Top Bottom