King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 60,419
- 88,753
Jamaa boflo mtarimbo dolo aka jogoo hapandi mtungi.
Jamaa yako akueleze ukweli juu ya cock wake atakuwa na shida!!!!
Mstiri jamaa yako badala ya kumuachia aibu hiyo..
pengine uyo jamaa ni kicheche zaidi hivo anapotezea tu
hata kama cock no tatizo si basi angetoka na mmoja rationality ya kutoka na hadi watoto wadogo inatoka wapi? ajaribu kumpiga chini atatulia. wanawake wengine huwa wanachezea ndoa za kikristo hasa wakiwa wana uhakika jamaa hawezi kuchezea ndoa. ila ikitokea ikawa reality kuwa anaivunja mbona atajirekebisha
i wish u could be a man facing the same tragidy......unfortunately u r a woman,moreover a mere woman....i mean just a woman....simply a woman
Kama anafahamu kinachoendelea halafu hana noma na wewe kula, bora ufaidi wewe best kuliko hao wajamaa wa mtaani, kula huyo shemu mwanangu.Ningekuwa mimi ningemla.
I bet watoto sio wake pia....
Huenda wenzio tiyar wako kwenye dozi, make hawa wivu hupungua hadi -1. Fanya utafiti kwanza kuhusu hii kitu.