Juzi nilipokuwa na mke wangu baada ya chakula cha usiku, aliniambia
nimwandikie nyumba yangu kwa jina lake, na hii nyumba ninayo kabla hatujafunga
ndoa, nikamuuliza kwani kuna tatizo gani ikiwa kwa jina langu. Akaniambia kuwa yeye
amezoea kwao, yaani baba yake kila anaponunua nyumba au gari anaandika kwa jina la
mamake.Nikamwamwambia nipe muda nifikiri, na leo kanikumbushia tena. Sasa nimeona
hii issue niilete hapa jamvini ili mnipe ushauri wenu wa busara...
Hapo ndipo mie Baadhi ya mambo yananishinda,Yaani wewe ni mke wangu,nyumba ninayo na tunaishi wote humo ndani ,.halafu yanaanza mambo eti nimnunulie wife nyumba yake?Does it make sense?kuna haja gani iwapo tunaishi pamoja,.mwanamke afikirie future yake ,ndio nimnunulie nyumba?future gani tena kama sio tamaa?Kama hana mpango wa kukukimbia je atakuwa na upi mwingine?Kama mama mambo yake yamekaa vizuri anataka kununua/kujenga nyumba nyingine,.basi iwekwe bayana nia yakufanya hivyo ni nini?Kama ni ya biashara basi najua pia watoto watanufaika,.nami nitatoa hata kidogo nilichonacho kuchangia,kama ni kurekebisha makazi ya wazazi wa mmoja wetu basi ielezwe hivyo na nitachanga.,na hizo hati ziwaendee wazazi wenyewe.Kama unazo pesa kamnunulie nyumba ingine... Is she a housewife? do u have any kids? I think she has right to worry about her future? what if you die tomorrow? where will she go? if she dont work or have any other income and she has spent all her life taking care of u, u should take care of her too...
au mdaganye kama wanavyo danganya wenzako.... Everything I own is yours my love, do u know how much i Love u? :blah: nyie wanaume ndo mnajua kudanganya