Mke amkwida binti wa saluni wakati akimpaka mafuta mumewe!

Watanzania wangepractice customer care ya salon maeneo mengine tungekuwa super power in a week.
 
mkuu nasubiria picha.

mimi ningemtoa dada nimpake mwenyewe wala isiwe tabuuuu
Dar+es+Salaam-20111117-00078.jpg
 
Hivi mkuu, wew siunapaka rangi kucha zako? huwa unapakwa na mdada au mkaka? na shemeji huwa anakusindikiza?
Jamani tuangalie huu usawa, Ukipita pale mwenge karibu na kituo cha polisi utakuta wadada wengi wanaoshwa miguu na wakaka, yani miguu juu juu afu wamevaa visketi vya joto(vifupii). Hukuti mkaka hata mmoja amemsindikiza mwenza wake hii ni kuaminiana na kupeana nafasi, Au ndio kusema nyinyi ndio mnajua kupenda? Samahani miss Chagga na pole kwa kuumwa weekend.

ni kweli ila mwanaume ni rahisi sana kupata hamu ya kudochana kuliko mwanamke ndo maana tunaogopa
 
Mimi napenda kunyolewa nywele saluni lakini binafsi hizi saluni zenye akina dada wa kuosha nywele na kupaka mafuta zimenishinda. Mke wangu ndo mwenye mamlaka ya kuni papasa tu sio hivi vidada ambavyo havina quality ya kugusa ndevu, kichwa na kunipaka mafuta. Mi nikiingia huwa natangaza kabisa kuwa service iishie kunyoa nywele na sihitaji mdada yoyote kunigusa kwani spiritually kuna uwezekano wa kuwa perfectly connected na hatimaye kuwa inflicted na mapepo
 
Itabidi na sisi 2wacndikizage kwa mafundi nguo wake zetu, tehe tehe then tushuhudie nyonya inavyopimwa, tehe tehe...
 
na alimpiga marufuku asiende tena saluni. sijui atakuwa anamnyolea nyumbani yeye mwenyewe. wivu mwingine kama huu unakera sana.


Mkuu wangu umepatwa na nini tena mitaa hii?

please turudi kule tukaokoe jahazi la Chalinze yaliyopita kalenga si ndwele tugange yajayo...
 
tena hawataki kusuguliwa wala kupakwa rangi na wa jinsia yao, siku hizi na mafuta wanapakwa unakuta mpaka na usingizi analala eti raha!!!!
 
ni kweli ila mwanaume ni rahisi sana kupata hamu ya kudochana kuliko mwanamke ndo maana tunaogopa
Mnona sisi mme hatuwasindikizi kwenye saluni ambazo mnawekwa dawa na kusukwa na wakongo,kosha miguu na kusuguliwa kucha,Kwani anaeyekufanyia hivyo si mwanaume nae si atakuwa anapata kishawishi,iweje niende saluni bi dada wa saluni anioshe iwe tabu?
 
Ila sijui wanaume wataponea wapi hawa madada wanabidii ya kila njia kumfanya mwanaume akubali wanachotaka ipo saloon jirani pale sansiro jamaa akienda kuoshwa kule ndani anafunguliwa mpaka zipu akionyesha kutobisha bidada anaanza kula koni na vingine vinafatia hivi hiyo ndio castomer care???

Du, that's too much. Iko sehemu gani hiyo niende nikafanye utafiti, mkuu?
 
Me nakumbuka nilishawahi kumkazia laazizi wangu saloon, Nimemsindikiza, Eti kamaliza kunyolewa mdada kaja anataka amuoshe, nikamtumia message kuwa akiosha tu, tukirudi home atakiona cha moto.
Akajifanya hanielewi, nilimkata jicho hilo hadi aliinuka, na hakuosha tukaondoka.
Tulivyorudi home nikamuosha mwenyewe, tena nikampa na onyo siku nikimkuta anaosha saloon aandae na pesa ya kulipa vifaa vya watu, Patawaka!

Du, kumbe mpo wengi hivyo?
 
pamoja na kuwa hawa wadada ni wawindaji,
ila mwanaume lazima abebe lawama hapo, mtu umekatwa nywele kwa nini akufungue zipu?
itafika kipindi tutawarudisha hawa wanaume kunyoa nywele chini ya mwembe...........

na sasa hivi dawa saluni kwenda nae, akinyolewa unasimamia
kwenye kuosha unasimamie, sasa ole wake mdada apitishe vidole sikioni atachezea vitasa tu...na ole wake mwanaume ajitegeshe kihasara hasara :eyebrows::rip:
(na janaume bazazi litaenda kunyoa kimya kimya, ukiona hivyo ujue mume huna...)

hahahaha! wee mkari sana!
 
hivi wakienda kunyoa lazima waoshe nywele! kiukweli inakera sana wadada hawa wanafanya makusudi sana huko salon kwa wanaume, hivi na mwanamke akienda kunyoa huko anafanyiwa hivyo au ni kwa wanaume tuuuuuuu!!!!!!!!!!!!!
Wanawake hunyolewa na kuoshwa na wanaume
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom