Mke amkumbatia shemeji mbele ya mumewe

Mke amkumbatia shemeji mbele ya mumewe

Ndivyo ilivyo. Au wee ushazoea kumkumbatia shemeji ako tena mbele ya ndugu yake?
Hujui Kama kuna hisia pale kwenye hilo tendo?
Tatizo we unawaza tendo tu. Badilika!!!! Kwani hata kama ni mkeo, kila ukimkumbatia ni lazima umpe/mpeane??? Ukija huku niliko unaweza ukazima kabisa wewe. Maana ndo taratibu zetu
 
Sasa hapo ajabu nn? Watu wanakumbatiwa hadi na mama mkwe sembuse shemeji
 
Huyu ni mshamba sana.
Karne hii unashangaa kukumbatiwa mbona ni kitu cha kawaida mnoo tena sana.
Kanisani tu watu huwa tunakumbatiana ndugu zangu hata dada zangu tusipoonana muda mrefu tukionana tunakumbatiana. Unajua maana yake lakini..
Yaani mi nikimmiss mtu, tukionana, haijalishi ni wapi, nakukumbatia kwanza, salamu baadae
 
Labda utueleze wamekumbatianaje, mbona tunakumbatiana mara nyingi tu, kama mtu hamjaonana siku nyingi hug sio mbaya ila tu adabu iwepo.
 
Naijua lakini sio kumfanyia shemeji yako.
Kumbuka yule n mke wa nduguyo. Je ukimtaman
Ninachoona kwako ww udhaifu mno kihisia. Ukikumbatiwa tu ushaloa.
Ama wewe umeishia maeneo gani TZ hii.
 
Yani jamani Leo nimeona kitu cha kunishtua kidogo! Mtu na shemeji yake mke wa kaka yake wanasalimiana kwa kukumbatiana.

Ajabu iliyoje, tena mbele ya mumewe, hivi huyu mwanamke ana akili kweli? Ku kumbatia shemeji yake mbele ya ndugu yake?
Mmmh ww wa wap kwan? Yaan hoja yako badala watu waishange wanakushangaa ww mleta mada kwa upori wako...
 
Back
Top Bottom