Smooth Criminal
JF-Expert Member
- May 13, 2024
- 1,817
- 3,291
Huyo kafuata kwa bibi
Hahahaha kama ni hivyo avunge tu, ila kuchapiwa mpaka mtu ajifungue mchina na wala hakimbii yupo tu , kamwona mwamba ni goigoi sana.Kitanda hakizai haramu
Acha kidume mwenzetu alee mtoto
Wanawake wana dharauHahahaha kama ni hivyo avunge tu, ila kuchapiwa mpaka mtu ajifungue mchina na wala hakimbii yupo tu , kamwona mwamba ni goigoi sana.
Hii story ni yauongoWanawake wana dharau
Yani hizo dharu za mke wake zimepita kiwango cha dharau , huyo anaweza mtafuna hata kengele usiku akipitiwa.Wanawake wana dharau
Alee mchina [emoji1][emoji1] ampe na jina la Xing Jim HouHizi ndo Siri za ndoa
Kaa kimya
Lea mwanao
😂😃😀Omba yasikukute mkuuAlee mchina [emoji1][emoji1] ampe na jina la Xing Jim Hou
Sema ni story za kutunga hizi za Facebook huko ndo wanatuletea hapa.[emoji23][emoji2][emoji3]Omba yasikukute mkuu