tamu 3
Member
- Dec 11, 2024
- 88
- 216
MKE WANGU AMEJIFUNGUA MTOTO WA KICHINA NA SISI WOTE NI WA AFRIKA TENA WEUSI.
Kaka habari yako ndugu yangu, mimi umenikuta msala tena mzitoo, msala wa aibuuu kaka nimevuliwa nguo!!!! Mimi na mke wangu tumekuwa kwenye mahusiano kwa mda wa mwaka sasa, yani ndoa yetu ina mwaka mmoja...... sasa kwenye harakati zetu za kuongeza familia kama unavyojua swala la ujauzito ni kawaida na nila baraka, kwahiyo mke wangu alivyobeba mimba hata sikushangaa zaidi nilifurahi na kumpa huduma zote kama mke wangu wa ndoa na ukizingatia sijawahi kusafiri kwamba nimuache labda hata wiki, haijawahi kutokea.
Basi imeenda mpaka miezi 9 na wiki iliyopita alijifungua.. ajabu ni kwamba mtoto ni mchina, siyo Albino ni mchinaa😭😭😭 yani nimeaibikaaaaa jamani....
Sijui nimtafune huyu mtoto?? Sijui nimuue mama yake... sijui niwauwe wote ama sijui nijiueee😪 sielewi.