Mke aja juu kubadilishwa jina na mumewe...

Haya ni maneno ya hapa hapa jf... kupiga mchokoo teke..mama Maria Nyerere,Anna Mkapa,Siti Mwinyi,Laura Bush nk...leo ukiolewa na Bakhresa utataka tz yoote ikujue 'mamaa azam' atakayeita gaijin atajuuta kukujua...ndio zenu hizo tunamijuweni nyinyi..
Way to go woman......akubadilishe jina kakuzaa au kakununia? :]

Haya ni maneno ya hapa hapa jf... kupiga mchokoo teke..mama Maria Nyerere,Anna Mkapa,Siti Mwinyi,Laura Bush nk...leo ukiolewa na Bakhresa utataka tz yoote ikujue 'mamaa azam' atakayeita gaijin atajuuta kukujua...ndio zenu hizo tunamijuweni nyinyi..

Kwa kuwa hao ulowataja ndo wanawake bora duniani au?

Kuna kubadili kwa kuridhia, kupenda na kutaka sio mwanamme anajifanyia tu Kama vile wewe mwanamke huna kauli.

Na hiyo sheria inayompa mwanamme kufanya hivyo bila ya consent ya mwanamke ni ya kidhalilishaji

Gaijin Dii

Haya mambo yameanza juzi juzi tu, Enzi za mwalimu kulikua hakuna ubishi baada ya ndoa tu jina linabadilika. Siku hizi ndo ni "very risk", sasa wanaona watabadili jina mara ngapi? Leo Pesambili baada ya miezi umeachwa waolewa tena unakua Mrs Karata and the list goes on!

mie sihofii hilo but cjui kwann cpendi kabisa kubadilisha jina, wala ctabadili kabisa.

Kubadilishwa jina nadhani siyo tatizo sana, tatizo ni kubadishiwa jina bila hata kushirikishwa!!!!. Mi nadhani ifike mahala sasa huu utaratibu wa kuwabadirisha wanawake majina pindi wanapoolewa usitishwe jamani, hebu fikiria matatizo ya ndoa kipindi hiki mwanamke anaweza kujikuta amebadirishwa majina mara kibao kiasi cha kusahau kabisa majina yao ya ubini asilia kama zilivyo hotel zetu, hivi kuna mtu anaweza kunikumbusha haraka jina la kwanza kabisa la Moevenpic?

Sio kwamba ni bora ila ni kioo ktk jamii...utamwacha baba yako utaambatana na mumeo,mtakuwa mwili mmoja=utabeba jina la mumeo,utamzalia watoto kuendeleza ukoo wa mume..tena ww ninavyokuona usipoitwa jina la mumeo utaandamana..
Kwa kuwa hao ulowataja ndo wanawake bora duniani au?

Kuna kubadili kwa kuridhia, kupenda na kutaka sio mwanamme anajifanyia tu Kama vile wewe mwanamke huna kauli.

Na hiyo sheria inayompa mwanamme kufanya hivyo bila ya consent ya mwanamke ni ya kidhalilishaji

mie kuwa na jina langu yani wazazi juzijuzi limenisumbua sana balozi fulani hapa, yaani doc zangu jina la wazazi wangu, passport jina la mume, yaani ilibidi nihangaike saana kuanzia siku hiyo nimeanza mkakati wa kuweka kila kitu jina la mume sipendi nije pata usubufu kama ule tena

Sio kwamba ni bora ila ni kioo ktk jamii...utamwacha baba yako utaambatana na mumeo,mtakuwa mwili mmoja=utabeba jina la mumeo,utamzalia watoto kuendeleza ukoo wa mume..tena ww ninavyokuona usipoitwa jina la mumeo utaandamana..

Kwanza kama hayo uliyoyarejelea ni maandiko, tambua kwanza ni maandiki ya dini moja tu kati ya dini mia kadhaa zilizopo duniani.

Pili tafsiri ya hayo maandiko ni ile uloitaka wewe tu, hakuna sehemu maandiko yalosema lazima mwanamke abadili jina achukue la mwanamme.

Sheria kama inaruhusu mwanamme kufanya process za kumbadilisha jina mkewe na akaweza bila ya mwanamke kushirikishwa basi ni sheria za kinyanyasaji

Leo MM umeamua! Wahenga walisema...sumu ya mwanamke ni mwanamke mwenzake. Hilo ni suluhusho PEKEE la mgomo baridi

mie kuwa na jina langu yani wazazi juzijuzi limenisumbua sana balozi fulani hapa, yaani doc zangu jina la wazazi wangu, passport jina la mume, yaani ilibidi nihangaike saana kuanzia siku hiyo nimeanza mkakati wa kuweka kila kitu jina la mume sipendi nije pata usubufu kama ule tena

Ndio maana wanawake wengine hawataki kubadili, manake vyeti vyake vyote vina jina la baba au ukoo, ghafla analazimika kubadili kuwa jina la jipya. Na akipata usumbufu ni yeye mwanamke anaepata, ya nini?

Oo-ooo....nifanyie msaaada basi PAW anibadilishe kabisa :]

Hahahaaa kwa jinsi Paw alivyo mshobokaji kwa mashori nina uhakika ukimcheki kwa PM ombi lako atalitimiza papo hapo. Mimi hawezi kunisikiliza yule....

Ila usisahau kumsifia ukimtumia hiyo PM....mwambie unampenda na blah blah nyingine kama hizo halafu utaona mwenyewe...

hahahha ngoja nimtumie PM yenye heading "PAW nimependa makucha yakoooo"

Hahahaaa kwa jinsi Paw alivyo mshobokaji kwa mashori nina uhakika ukimcheki kwa PM ombi lako atalitimiza papo hapo. Mimi hawezi kunisikiliza yule....

Ila usisahau kumsifia ukimtumia hiyo PM....mwambie unampenda na blah blah nyingine kama hizo halafu utaona mwenyewe...

Huyu PAW inaelekea unamfahamu vizuri NN

Back
Top Bottom