Mke aja juu kubadilishwa jina na mumewe...
[h=3]Portuguese-speaking world[/h] In general, the traditions followed in countries like Brazil, Portugal and Angola are similar to the ones of Spain. Unlike Spanish tradition, usually the mother's surname comes first, followed by the father's surname. A woman may adopt her husband's surname(s), but nevertheless she always keeps her birth names. Since 1977, a husband can also adopt his wife's surname. When this happens, usually both spouses change their name after marriage.
Spanish-speaking world
In Spain and in most Spanish-speaking countries, the practice is for people to have two surnames. The first surname comes from the father and the second from the mother. A child's first surname will usually be their father's first surname whilst the child's second surname will usually be the mother's first surname. For example, if Señor Smith Adams and Señora Jones Roberts had a child named Paul, then his full name would be Paul Smith Jones. One family member's relationship to another's can often be identified by the various combinations and permutations of surnames.
In Spain, especially Catalonia, the paternal and maternal surnames are often combined using y (Spanish) or i (in Catalan), see for example the economist Xavier Sala-i-Martin or Salvador Dalí i Domènech.
In Spain, a woman does not ever change her legal surnames when she marries. In some Spanish-speaking countries (those in Latin America), a woman marrying a man may drop her mother's surname and add her husband's surname to her father's surname using the "de" (of) preposition. For example, if "Clara Reyes Alba" were to marry "Alberto Gómez Rodriguez", the wife could use "Clara Reyes de Gómez" as her name (or "Clara Reyes Gómez", or, rarely, "Clara Gómez Reyes". She can be addressed as Sra. de Gómez corresponding to "Mrs Gómez"). In some countries, this form may be mainly social and not an official name change, i.e., legally, her name would still be her birth name. This custom of adding the husband's surname is slowly fading.
Wikipediahttp://en.wikipedia.org/wiki/Maiden_name#Portuguese-speaking_world
Kwa maisha ya kileo uzoefu unaonyesha kwamba mwanamke pindi akiolewa na mwanaume mwenye jina kubwa haraka haraka huwa anabadili ubini,akiolewa na mchovu kama Bishanga wakati kwao jina kubwa ndo utasikia anaitwa mrs Chaupele Bakhresa Bishanga au Mrs Rose Mkapa Bishanga.
Na hapo Bishanga utakuwa na bahati maana wengine wanapotezea kabisa kama huyo Nyakomba anayekataa kuitwa Pesambili. Hiyo ndo hali halisi ya maisha yetu maana hata mke wa Clinton(aliolewa wakati bwamzee bado kidampa) naye mpaka leo anajiita Hilary Rodham Clinton,bila shaka Rodham lilikuwa jina kubwa. Na Nancy Reagan ambaye aliolewa na superstar mcheza sinema Reagan haraka haraka alijiita Nancy Reagan.
hey wa-america majina ya kati ni majina yao siyo majina ya baba zao kwa mfano hilary ni jina lake na rodham ni jina lake.ndo wako hivyo nimezaa na mmarekani nikajua ntampa mwanangu jina langu la kati akaniambia jina ataro pata ni sir name tu na hayo mengine yote ni yake mwenyewe sijui kama uminipata
Ni sawa na kupiga teke mchngoma..unajua kuna wanaharakati humu wanashindana na nature..kama huyu jirani yangu faizal foxy anatumia jina la mr wake, hadi madaraka ya mr anajifanya ana ubia nayo looh!
Moria,
"kupiga mchokoo teke" maana yake nini?
Zilongwa mbali zitendwa mbali looh!
Si lazima kwa mwanamke kubadilisha jina,ila wanachofanya ni kuongezea jina la mwisho tu,anaweza kuitwa rose nkomba then akamalizia na pesambili
nazani hili halina effect mbaya
hey wa-america majina ya kati ni majina yao siyo majina ya baba zao kwa mfano hilary ni jina lake na rodham ni jina lake.ndo wako hivyo nimezaa na mmarekani nikajua ntampa mwanangu jina langu la kati akaniambia jina ataro pata ni sir name tu na hayo mengine yote ni yake mwenyewe sijui kama uminipata
na Asha Rose Mtengeti Migiro naye ni mmarekani? Na Shamsa Selengia Mwangunga ni mmarekani? Kwa taarifa yako Mtengeti na Selengia ni maiden names zao.
Similar Discussions
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom