Mlalahoi
JF-Expert Member
- Aug 31, 2006
- 2,182
- 883
Hawa wanasiasa majambazi hawakupewa malezi bora? Chuki yako dhidi ya watu walioamua kwa utashi wao kuhusu sexuality yao ni matokeo ya malezi kutoka kwa wazazi wako? Stop this nonsense. Yes malezi bora ni muhimu lakini sio 100% foolproof dhidi ya mabadiliko ya tabia.Naam. Ndio maana ya malezi. Tunawalea wanetu vizuri ili wasije tumbukia kwenye uhalifu wa aina zote.
Halafu ushoga sio maradhi wala maumbile, ni tabia. Ndio maana tunaupiga vita kwa sababu hauna faida yoyote.
Unaye mtoto wa kiume?
Oh malezi, what about kumfumba macho mwanao asione wavuta sigara maana bila hivyo huenda akaiga kama ambavyo akiwaona mashoga atawaiga... Na what about kumzuwia asiende shule ambako kuja uwezekano akakumbana na ulawiti?