Mkataba wa Umeme 600 MW Tayari | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mkataba wa Umeme 600 MW Tayari

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by zomba, Jan 17, 2011.

 1. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #1
  Jan 17, 2011
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Serikali Ya JMT chini ya Uongozi wa Rais Jakaya Mrisho Kikwete, imeshatiliana saini na Mwekezaji wa kuweka mitambo ya kufuwa umeme wa kutumia makaa ya mawe usiopunguwa Megawati 600.

  Zaidi ya hayo ni kuchimba na kuzalisha Chuma, kwa hili Tanzania inakuwa nchi ya kwanza Afrika Mashariki.

  Ahsante Jakaya, action speaks louder than words.
   
 2. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #2
  Jan 17, 2011
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Hebu iweke hapa jamvini nakala yake tukaipitie kabisa kipengele baada ya kipengele kabla haijageuka Richmond na Dowans huko mbele ya safari.

  Mkataba wa aina hiyo si ni taarifa ambayo ni mali ya umma, iweke hapa sasa hivi kabla haijavunda na kuanza kunuka hovyo huko mbeleni.
   
 3. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #3
  Jan 17, 2011
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Mtakufa navyo vijiba vya roho.
   
 4. BLUE BALAA

  BLUE BALAA JF-Expert Member

  #4
  Jan 17, 2011
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 899
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Karl Peter's agreement!!!
   
 5. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #5
  Jan 17, 2011
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Na huu mkataba mmoja ni wa umeme mwingi zaidi ya umeme waliokwisha weka Nyerere, Mwinyi na Nkapa, hata ukijulisha wote kwa pamoja.
  Na mingine mitatu kama huo ipo njiani inakuja, final touches.
   
 6. BLUE BALAA

  BLUE BALAA JF-Expert Member

  #6
  Jan 17, 2011
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 899
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  all KARL PETER'S SABABU HAWAJUI KILICHO ANDIKWA
   
 7. Easymutant

  Easymutant JF-Expert Member

  #7
  Jan 17, 2011
  Joined: Jun 3, 2010
  Messages: 2,570
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  zomba naomba nitumie tigo yako plz...u sound like a guy..
   
 8. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #8
  Jan 17, 2011
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  ZOMBA WEKA HUO MKATABA HAPA TUKAUCHAMBUE

  Zomba, kuna vijiba gani tena hapo?

  Rais anposaini mkataba hufanya hivyo kwa niaba ya sisi sote kama taifa na wala hafanyi hivyo kwa manufaa ya familia yake kiasi cha kukufanya uone ya kwamba akifanya hivyo basi waraka huo UBAKIE SIRI UVUNGUNI MWA KITANDA mpaka siku itakapozunda kama ya Dowans ndio mnahaha nayo kuileta mezani ili tukawalipe wamiliki majini babari fedha zetu.

  Acha kujizungusha bure, weka huo mkataba hapa jamvini tukausome tuone vipengele vyake vimekaeje maana viongozi wetu hawaaminiki tena kwa lolote lile.

  Kujaribu tukupeleka macho yetu kwenye umeme Megawatts 600 utakaopatikana utakaopatikana haitoshi, sharti Watanzani tangu sasa na tukapekue kila mkataba unasemaje na ulitayarishwa na wanasheria gani tofauti na wale waliowahi kututumbukiza kwenye janga kubwa kama taifa kufanya bisahara na Majini wasiojulikana sura wala nchi wanakotoka mle ndani ya Dowans.

  Zomba najua sana unavyojuta kilichokufanya uanze kujitambisha na mkataba huo wa Mhe Kikwete hapa jf. Kama wewe si mtaalam wa kutundika ovyo threads zisizokuwa na kichwa wala miguu, tundika na huo mkataba hapa, laa sivyo uondoe kabisa kauli za mijigambo hewa hapa na kutuomba msamaha endapo bado chembe cha ustaarabu na ukomavu unanukia kwako.

  Karibu kwa mtihani huu.
   
 9. Consultant

  Consultant JF-Expert Member

  #9
  Jan 17, 2011
  Joined: Jun 15, 2008
  Messages: 5,804
  Likes Received: 6,314
  Trophy Points: 280
  (Kama ni kweli...) I hope JK kakumbuka/kakumbushwa kuandaa mikakati in advance ya kuwalipa fidia maana muda si mrefu watalianzisha - tumeshakuwa shamba la bibi
   
 10. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #10
  Jan 18, 2011
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Usongo huo!
   
 11. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #11
  Jan 18, 2011
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Ukipenda hizo habari pokea hukupenda ziache kama zilivyo. Si kazi yangu kubandika mikataba JF, mwenyekazi hiyo ni yule kizabizabina wa JF mkjj.
   
 12. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #12
  Jan 18, 2011
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Kumbe wewe ni Dr Salva Rweyemamu na kwamba hapa ulikua tu kwenye kufanikisha kazi ya kutukana wana jf na kiswahili hicho cha 'rusha roho' na wala si kujibu hoja?

  Umeeleweka hadi hapo, kwaheri!
   
 13. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #13
  Jan 18, 2011
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Ukipenda usipende habari ndio hiyo, kama yale maandamano ya kipuuzi yalilenga hii mikataba isisainiwe, sasa ndio imesha sainiwa, anzisheni kingine.
   
 14. Askari Kanzu

  Askari Kanzu JF-Expert Member

  #14
  Jan 18, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,526
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Zomba hulali? Lala, angalau masaa kidogo, azawaisi skrini ya kompyuta itakuchanganya na utaanza kuokota makopo mitaani hivi karibuni. Mawazo na maandiko yako yanaonyesha wewe ni mzee uliyepitwa na wakati kwa hiyo wakati mwengine unastahili kupumzika, japo kwa siku nzima. Utumbo wako umepitiliza kiasi, na sidhani kama kuna mtu anakuchukulia siriaz kwa sasa.
   
 15. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #15
  Jan 18, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  vasco da gama
   
 16. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #16
  Jan 18, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,804
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  Serikali ya wawekezaji! Serikali ya Takwimu! - Kuwa ya Kwanza Afrika Mashariki

  Hivi Salva aka zomba una matatizo yoyote ya akili?

  JK kutia sahihi na mwekezaji inastahili pongezi zipi? Wajibu wake kama mtawala ni nini?

  Acheni kusifia "mgema"!

  Hebu tembelea hapa:
  https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/103669-pinda-aogopa-wimbi-la-umma-kumngoa-ya-jk-aomba-mjadala-wa-ulinzi-kitaifa-kunusuru.html
   
 17. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #17
  Jan 18, 2011
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,481
  Likes Received: 5,862
  Trophy Points: 280
  Jeetu baada ya kujenga pale msoga alipewa Mchuchuma na JK...ndio huu mradi...subrini unit na capacity charges zao kwa TANESCO
   
 18. deny_all

  deny_all JF-Expert Member

  #18
  Jan 18, 2011
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 428
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Mbona inaonekana mchakato wenyewe bado kabisa......ndio kwanza wako kwenye mazungumzo HabariLeo | Dawa ya mgawo wa umeme yaja
   
 19. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #19
  Jan 18, 2011
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,481
  Likes Received: 5,862
  Trophy Points: 280
 20. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #20
  Jan 18, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
Loading...