Ta Muganyizi
R I P
- Oct 19, 2010
- 5,361
- 2,734
Katika kutafakari sababu za umaskini wa nchi yangu Tanzania, nikajikuta nashangaa hasa baada ya kuangalia raslimali zilizoko nchini hasa madini. Nikajiuliza wenzetu wa Botswana madini yao yanawafaidisha kuliko sisi hapa Tanzania tatizo ni nini? Nikaweza kupata mkataba mmojawapo wa uchimbaji madini kati ya Serikali ya Botswana na Muwekezaji (De Beers)
Kilichonifurahisha makubalinao ya uchimbaji na faida itokanayo na uuzaji wa almasi hiyo yalitangazwa ka Press Release kwa wananhci wote ili wajue kinachoendelea. Mkataba huo ninauweka hapa kama attachment View attachment Botswana_De_Beers_Sales_Agreement_Press_Release_-_.pdf ili kila mwenyekutaka kuusoma ausome pia nitaweka link.
http://www.debeersgroup.com/ImageVa...De_Beers_Sales_Agreement_Press_Release_-_.PDF
Baadhi ya maneno kwenye mkataba huo ni haya
1. Debswana is a 50/50 mining joint venture between Botswana and De Beers
2. Diamond Trading Company is the wholly-owned distribution arm of De Beers
3. Diamond Trading Company Botswana is a 50/50 sales joint venture between Botswana and De Beers
Nilifarijika kuona walau nchi inakomaa 50/50 na muwekezaji na kugundua kumbe inawezekana. Sasa naomba msaada mmoja kwa GT walioko hapa JF, mnitumie walau Press Release moja inayoonesha makubaliano kati ya muwekezaji mmojawapo nchini na inayoonesha asilimia ipatayo nchi kutokana na mauzo ya madini mojawapo kati ya yote tuliyonayo nchini. Asanteni