This happens only in India!!
Philemon, you are not serious Mkulu...... Ina maana walikuwa washauri wa TRC na kisha wakashiriki mchakato wa kutafuta muzimwaji (inaitwa kuwekeza ee) shirika hilo hilo.....
Halafu tunasema Madiwani wenye makampuni hawaruhusiwi ku tenda kwa kazi za halmashauri?? Duh, kaazi kweli kweli.....
Yaani jamaa walitayarisha mkataba/vigezo vya mwekezaji pale TRC, kisha wakaomba kazi na kisha wakaishauri TRC (technical advisor, usisahau hii cheo hapa) kujipa pasi........ Kweli hujafa hujaumbika....
On top of that wale bidders wengine wakaliona hili wakaamua kujitoa (walisema why?) and yet we proceeded with the whole process and gave the mighty TRC to Rites......
I rest my case, this is too much for my small head....
MUHINDI ALIYEKUWA AKISIMAMIA HUO MRADI WA KUKARABATI MABEHEWA NA KUISHAURI MANAGEMENT KUPITIA HUO MKOPO WA BANK YA DUNIA KATI YA MWAKA 2002 HADI 2006 KUTOKA KAMPUNI YA RITES ..ANAITWA ENGNEER MUKESH..NA NDIE ALIYEHUSIKA KUANDAA SOME TECHNICALITIES...NA BAADAYE KWA KUSHIRIKIANA NA SUBASH PATEL NA CHANDE ..WAKAISHAURI RITES INUNUE TRC....
KWA SASA ENGENEER MUKESH AMERUDI TENA BAADA YA ZOEZI KUKAMILIKA AKIWA SASA NDIYE MKURUGENZI WA UFUNDI WA TRL...[CHIEF MECHANICAL ENGNEER...]WA TRL...
KWA KIASI KIKUBWA HUJUMA ZA KULIFANYA HILI SHIRIKA LA UMA KIYUMBE NA HATIMAYE KUWA MZIGO KWA SERIKALI HADI KUAMUA LIUZWE ZILIFANYWA NA HAWA WAHINDI WAKISHIRIKIANA NA SUBASH NA ANDY KAMA MWENYEKITI WA BODI NA HAWA KINA MBOMA KWA KUJUA AU KUTOJUA ..HASA PALE WALIPOKATIZA SAFARI ZA RELI ZIISHIE DODOMA ...MZIGO UKAWA MKUBWA KWA SHIRIKA KULIPIA WASAFIRI..NA MIZIGO MABASI HADI DODOMA...WASWAHILI WENZETU WAO WALIFAIDIKA KWA KUPEWA COMMISSION NA MAKAMPUNI YA USAFIRI AMBAYO YALIPATA KAZI KUPELEKA WASAFIRI NA MIZIGO DODOMA....NA HAPO SHIRIKA LIKAZIDI KUYUMBA KWA NAKISI YAO KUWA KUBWA...KUTOKANA NA KULIPA GHARAMA KUBWA HIZO NA ZILE ZA MAFUTA AMBAZO WALIKUWA WAKINUNUA KWA PESA TASLIM[BANKERS CHEQUE]..KUTOKA GAPCO AMBAYO NI KAMPINI YA MWENYEKITI WAO WA BODI ANDY CHANDE.....IKAWA HOOI KIPESA ...IKABIDI SERIKALI YA AWAMU YA NNE ILIPOINGIA IKAKUBALI MKATABA UANZE KAZI..UKISAINIWA NA CHENGE AMBAYE NDIYE PIA ALIYEDRAFT MKATABA UPANDE WA SERIKALI WAKATI AKIWA MWANASHERIA MKUU AWAMU YA TATU...
MKITAKA KUJUA RITES WALIFANYA HUJUMA MAKUSUDI WAKISHIRIKIANA NA MA ENGENEER WAZALENDO KUSHAURI NJIA YA RELI YA DODOMA TO DAR ILIKUWA MBOVU..SHANGAA KUWA NI HAO HAO TENA WIKI MBILI TU BAADA YA KUINGIA TENA BILA UKARABATI WA AINA YEYOTE ..WALIANZISHA SAFARI ZA RELI KUANZIA DAR [MABEHEWA NA ABIRIA].......
TENA MASIKINI RAIS WETU JK NA MAWAZIRI WAANDAMIZI BILA KUJUA AU WAKIJUA WAKAKARIRIWA WAKISIFIA WAHINDI WA RITES ETI ">>>wamefanikiwa kuanzisha safari za treni kutoka dar es salaam kwa abiria na mizigo ndani ya wiki mbili tu......bila hata kujiuliza ...."
Whaat????..BREAKING NEWS NI KUWA PAMOJA NA KUJUA RITES HAWAJAWEKA PESA ZA MTAJI....LEO AMEAMUA KULIPA SHILINGI BILIONI 3.5 KUGHARAMIA NYONGEZA ZA MISHAHARA KWA MIEZI MITANO..AMBAZO RITES NDIO WALITAKIWA WAZILIPE....NA WAO WENYEWE NDIO WALIOAHIDI HIYO NYONGEZA...PESA ZETU ZA KODI ZINAENDA KUGHARAMIA WAHINDI
serikali ina hisa za 49% na rites 51% kama niko sawa.
huenda serikali ikafidiwa hizo pesa baadae ila tusubiri wambeya watupashe
Pillemon Mikael,
Whaat????..
Wait a minute..Je sii kweli kuwa RITES wako under contract ku run mradi huu na TRL inamilikiwa na serikali 100%!....
Kuna mtu mwenye mkataba wa hii kampuni auweke hapa?
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, ameushtukia mkataba baina ya Serikali ya Kampuni ya Rites ya India kuhusu ukodishwaji wa lililokuwa Shirika la Reli nchini (TRC).
Akizungumza na wafanyakazi wa Kampuni ya Reli (TRL), iliyoundwa baaya ya kukodishwa kwa TRC, Pinda alisema mkataba huo una mushkeli, kwani kuna mambo ambayo hayaelewi jinsi yanavyoendeshwa.
Akitoa mfano, alisema kuwa wakati TRC ikikaribia kumaliza shughuli zake, ilieleza kuwa ina injini zaidi ya 90, lakini mara baada ya TRL kuanza kazi, ilieleza kuwa kuna injini takriban 50 tu.
Pia, wafanyakazi wa TRL wamesema kuwa mwekezaji huyo hakujali kukarabati vifaa hivyo vilivyopo, badala yake alikwenda kukodi injini nyingine kwenye kampuni yake ya Rites na tayari zimeshaingia injini saba ambazo zinalipiwa capacity charge ya sh 600,000 kila siku hata kama hazifanyi kazi.
Jambo hilo limemfanya Pinda auone mkataka huo kama ile ya umeme ambayop inalikamua Tanesco. Wafanyakazi wa TRL wameshamuomba Pinda kuwa mkataba huo nao upelekwe Bungeni ukachunguzwe.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, ameushtukia mkataba baina ya Serikali ya Kampuni ya Rites ya India kuhusu ukodishwaji wa lililokuwa Shirika la Reli nchini (TRC).
Akizungumza na wafanyakazi wa Kampuni ya Reli (TRL), iliyoundwa baaya ya kukodishwa kwa TRC, Pinda alisema mkataba huo una mushkeli, kwani kuna mambo ambayo hayaelewi jinsi yanavyoendeshwa.
Akitoa mfano, alisema kuwa wakati TRC ikikaribia kumaliza shughuli zake, ilieleza kuwa ina injini zaidi ya 90, lakini mara baada ya TRL kuanza kazi, ilieleza kuwa kuna injini takriban 50 tu.
Pia, wafanyakazi wa TRL wamesema kuwa mwekezaji huyo hakujali kukarabati vifaa hivyo vilivyopo, badala yake alikwenda kukodi injini nyingine kwenye kampuni yake ya Rites na tayari zimeshaingia injini saba ambazo zinalipiwa ‘capacity charge' ya sh 600,000 kila siku hata kama hazifanyi kazi.